Prof. Lipumba yu wapi? Twitter au Yahoo?

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Prof Ibrahim Lipumba ni mwanasiasa nguli katka mambo ya siasa lakin ni mbobezi katika mambo ya Uchumi.

Mwanasiasa huyu ni machachali sana ametokea kupaa kisiasa toka mwaka 1995 na 2000 alipoaminiwa kwa mara ya kwanza kuperusha bendera ya CUF Chini ya ushirikiano wa vyama vya upinzani.

Lakini mwanasiasa huyu ni mvivu saaana au huenda hataki kujihusisha na siasa za mitandaoni.

Toka nianze kumsikia Prof Lipumba sijawahi kumuona ameandika kitu Facebook au Twitter au mitandao yoyote.

Jambo ambalo kwa kariba ya Siasa zake na umri wake anahisi kukosana na watoto au kujishushia heshima.

Mitandao kwa sasa imepata pigo kubwa licha sheria kali sana za mawasiliano lakin hakujawahi kukoma maneno tata ya kejeri na upuuzi.

Na hii sio tu Prof Lipumba na wanasiasa wengi wakongwe hawapo katka mitandao hii.

Hongereni sana.
 
Back
Top Bottom