Elections 2010 Prof. Lipumba: Upinzani hauna imani na NEC...amtaka JK kuirekebisha...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Prof. Lipumba ambaye sasa ameteremka katika idadi ya kura zake na hata kushindwa kupata kura milioni moja pale NEC ilipotamka alipata kura 695, 667 au 8.06% aliujulisha umma wa watanzania ya kuwa tangu siasa za ushindani zianze vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia NEC kuwa haina uwezo na wala haiko huru lakini malalamiko yao yamekuwa hayafanyiwi kazi hata chembe......................

Prof. Lipumba ambaye alimpongeza JK kwa ushindi wake alimtaka ashughulikie kuimarisha utawala bora ambao ulikuwa unazidi kulegalega kutokana na mapungufu ya Tume hiyo............
 
Alipokuwa anawapiga madongo tume CCM wakaanza piga kerere ila msg sent
 
naam hayo ndo maneno

si ya yule mwenzetu kutaka kuhatarisha amani


wabunge wa upinzani watumwe kazi ya kuhakikisha wanipressurelize serikali kuja na katiba mpya na kuunda tume huru na so kuhatarisha amani na kuhubiri fujo kama dr wa .....
 
naam hayo ndo maneno

si ya yule mwenzetu kutaka kuhatarisha amani


wabunge wa upinzani watumwe kazi ya kuhakikisha wanipressurelize serikali kuja na katiba mpya na kuunda tume huru na so kuhatarisha amani na kuhubiri fujo kama dr wa .....

wewe ndo wale wale....mnasikiliza then hamfayii kazii ikifika siku za chaguzi mnategemea wizi,mkiambiwa ohhhh mnataka kuhatarisha amani,ww endelea kulala siku ukiamka uko ww na mafisadi wenzako
 
..dawa ni kurudi tena kwa wananchi na kuwahamasisha kwa nguvu zote mpaka waikatae moja kwa moja CCM.

..CCM hawawezi hata siku moja kurekebisha mfumo na utendaji wa Tume ya Uchaguzi. Udhaifu wa Tume ya Uchaguzi unaifaidisha CCM.
 
Frankly, I don't trust Lipumba as real man of change...naamini ni walewale kasoro tarehe!

Lipumba is now sitting easy toka CUF waingie kwenye serikali ya umoja huko visiwani ; kwahiyo kiutawala CCM na CUF ni wabia na yeye kama Mwenyekiti atafaidi matunda ya ubia huo!! What more change does he need? He could as well ship to the isles!!
 
Alipokuwa anawapiga madongo tume CCM wakaanza piga kerere ila msg sent
Miaka yote profesa analia na TUME lakini hawamuelewi, je mumemsahau kuwa ni profesa huyuhuyu aliyevunjwa mkono kwa kulia na TUME??? ni huyuhuyu alietiwa Rumande na serikali kwa kuisema ila watu wanasahau.. Je hamjiulizi kwanini hakulalamika kabla ya matokeo? au mmesahau kwamba hata vyombo vya habari vilitiwa shinikizo toka wakati huo ili asitajwe-tajwe akaja kuwa soo huko mbele.:thinking: naye akatumia busara kwenda vijijini ambako mageuzi ni haba wajue kwamba si CCM pekee yenye mgombea u-Rais wapo na wengine. Je mmeshasahau kuna kijiji watu wameuawa na kuhamishwa ili kupisha utalii, angeliyagunduaje hayo??? sihitaji kusema sana apo ila yeye ni MSOMI aliebobea katika Utawala na Uchumi anajua nini cha kufanya na nini amefanya. MTATIRO anajua kuna nini kwa Profesa cha kujifunza maana ndio changamoto ijayo kwa CCM toka kwa CUF. Mnaosema CUF ni Msoda wa CCM hamjui kwanini CUF wamefanya vile, fanyeni utafiti nje ya mduara mtapata ufumbuzi...

Tazameni UTABIRI WANGU TANZANIA miaka mitani IJAYO...:sad::thinking:
 
Back
Top Bottom