Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Prof. Lipumba ambaye sasa ameteremka katika idadi ya kura zake na hata kushindwa kupata kura milioni moja pale NEC ilipotamka alipata kura 695, 667 au 8.06% aliujulisha umma wa watanzania ya kuwa tangu siasa za ushindani zianze vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia NEC kuwa haina uwezo na wala haiko huru lakini malalamiko yao yamekuwa hayafanyiwi kazi hata chembe......................
Prof. Lipumba ambaye alimpongeza JK kwa ushindi wake alimtaka ashughulikie kuimarisha utawala bora ambao ulikuwa unazidi kulegalega kutokana na mapungufu ya Tume hiyo............
Prof. Lipumba ambaye alimpongeza JK kwa ushindi wake alimtaka ashughulikie kuimarisha utawala bora ambao ulikuwa unazidi kulegalega kutokana na mapungufu ya Tume hiyo............