Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata chanjo ya Covax.
Leo hii mataifa ya nje yanaisema vibaya Tanzania juu mapambano ya Covid 19. Haijabadili takwimu tangu March 2020.
Prof Lipumba amedai kuwa Mwl Nyerere aliunda taifa lenye ushirikiano na jumuia za kimataifa na hata marais waliopita waliundeleza. Leo hii ni rais Magufuli ameuharibu.