Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

"Prophet" JK alishatutabiria ujio wa mpumbavu m1 kutoka chatoo kuharibu uhusiano wa kimataifa hasa na majirani Kenya!

Hakika JK ana maono!.
Kenya na Tanzania,ni ndugu toka kitambo.huwa tunatofautiana kimitizamo kwa baadhi ya Mambo,lakini pamoja na hayo,hatujawahi kupeana visogo.East Africa ilipovunjika by then Nani alikuwa raisi hapa tz!??
 
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza prof njaa
Lipumba hawezi kupuuzwa kwa sababu ni Lipumba bali ni kwa yale asemayo na anayotenda.

Akisema au kutenda ya hovyo, alaumiwe, lakini akisema yaliyo ya msingi, asikilizwe na aungwe mkono. Hiyo ni kwa wote. Iwe ni Magufuli, Lisu, Mbowe, Mnyika, Ndugai, n.k.
 
Badala ya kutuwekea video ya Lumumba ili tuamini unachoongea unatuwekea video tofauti kabisa ya Lipumba. Ujathibitisha unachoongea kama ni kweli, ila ni kupiga pololo tu. Alafu wasiojielewa wanaamini unachoongea bila kuthibitisha na kuendeleza matusi.
 
Unataka video? Huna akili
 
Kenya na Tanzania,ni ndugu toka kitambo.huwa tunatofautiana kimitizamo kwa baadhi ya Mambo,lakini pamoja na hayo,hatujawahi kupeana visogo.East Africa ilipovunjika by then Nani alikuwa raisi hapa tz!??
Ukiwa Rais makini Wakenya lazima utofautiane nao.
 
Back
Top Bottom