Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"

KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI

NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"

Screenshot_20200930-124830.png

DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI

Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!

Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania!

Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
 
Haaaminiki na hana sifa ,huyu hata akipewa kura zote 100%,utashangaa anatangaza kujiuzulu na kukimbilia Rwanda
 
Professor huwa na mradi wake kila uchaguzi mkuu unapofika. Aliwahi kukiri alimsaidia Jakaya kushinda 2005. Mwaka 2010 akapelekwa vacation maalum Kigali Rwanda. Ni mpinzani hatari sana kuaminiwa
 
Professor huwa na mradi wake kila uchaguzi mkuu unapofika. Aliwahi kukiri alimsaidia Jakaya kushinda 2005. Mwaka 2010 akapelekwa vacation maalum Kigali Rwanda. Ni mpinzani hatari sana kuaminiwa
Liprofesa la uchumi linajifia hata taaluma yake haijamsaidia kitu. Ni heri Tundu Lissu ameokoa wanaoonewa. Hili jamaa kila kipindi cha uchaguzi lazima liwe na kamradi kake ka kupata hela.
 
Wasomi waliofaulu kwa plagiarism, hawaoni hata haya, kuiba idea ya mwenzao mchana kweupe.

#Rungwe_raisi_wangu_2020.
Kashitaki wezi hawa wa intellectual property, #ubwabwa!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Magufuli anasimama kila mahali sababu ni raisi ana vyeo viwili hafanani na mgombea yeyote ndio maana escort na ulinzi wa serikali upo palepale

Watu wanataka kumsikiliza Raisi wao
Lipumba hawezi wazuia na Dk Magufuli lazima awasikilize wananchi wake

Ndio maana ugombea wake ana kazi kubwa kuliko wenzieaieleze kama Raisi na ajieleze tena kama mgombea

Wakati wenzie wanasimama sehemu chache tu yeye anatakiwa asimame awasikilize wananchi kero zao azijibu kama Raisi na zingine azitolee maamuzi na zingine azitolee maaelekezo kwa watendaji washughulikie

Katika wagombea wasiolala ni Magufuli huku kampeni huku mafaili ya ikulu kibao ya kudhughulikia huku njiani wananchi njiani wanataka kero zao zisikilizwe na atoe ufumbuzi

Wengine akiwemo Lisu na Lipumba nk hawana hayo majukumu
 
Back
Top Bottom