Ndugu wanajamvi Mimi kama mwanachama hai wa CHADEMA Kutokana muelekeo wa chama chetu unaopelekea Kupoteza imani kutoka kwa wanachama wengi kwa akili zangu TIMAMU nina mpango wa kuhamia CUF endapo yafuatayo yatafanyika -
1. CHADEMA watashindwa kuudhibitishia Umma kuwa Tuhuma kwamba chama kinakumbatia ufisadi na kuwalea mafisadi sio za kweli Kwa kuanza na Mafisadi wanaodaiwa wako chamani Kuelekeza kiundani kashfa zinazowahusu ,mali walizonazo na walizipataje .
2. Ikiwa CUF wataweka msimamo wa kutomrudisha kwenye nafasi ya uenyekiti Prof Lipumba ambae anaonekana kuwa sio mtu mwenye msimamo kwa kuacha chama wakati Mgumu kwa sababu zile zile ambazo bado hazijatatuliwa anataka kurudi .
Niko tayari nije Tushirikiane kujenga Chama kirudi kuwa na nguvu kama zamani ,kila atakae soma afikishe taarifa kwa Viongozi wa CUF na CHADEMA .
MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA . Viva UKAWA