Prof Lipumba & Mrema kwenye dhifa ya Zuma Ikulu, nini tafsiri yake kwa upinzani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1494610828256.jpg
Nakumbuka bwana mkubwa juu ya kushirikiana na upinzani ila nashangaa huu ushirikiano alionao kwa hawa watu wawili.

Nini maoni yako
 
Miaka 22 sasa tangu hao jamaa walipokuwa wana"mageuzi". Utakuwa mjinga tu kutotambua "mchango" wao katika siasa za vyama vingi hasa ukizingatia walithubutu kuwa na mdahalo enzi hizo na Mzee Ben. Imebaki Story!

Walikusukumwa na maslahi, huu ulikuwa mda muafaka kwa wao kumalizia jitihada zao.
 
Lipumba na Mrema ni Wafu wa Kisiasa, Hawana Madhara wala hawatapunguza nguvu na mwendokasi wa CHADEMA/UKAWA.
Waachwe tu wale BATA wa Ikulu maana wanakula AIBU YAO MACHONI PA WANANCHI WAELEWA.
 
Back
Top Bottom