Prof.Lipumba, Mhe Mbatia na Dr Slaa kulikoni?

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,842
1,147
Wanajamvi

Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida

Kitendo alichofanyiwa Mhe Tundu Lissu

Licha ya kumtakia pole na Afya njema wametoa kauli huu sio Utanzania sio jambo jema wakilikemea na kutoa maelekezo vyombo husika vichukue hatua na kuiasa Jamii yote tusikubaliane na Jambo hili.

Swali wenzetu hawa ambao kauli zao kuhusiana na matukio mbali mbali wamekuwa wakitoa ya moyoni kwa ajili ya Taifa na walioathirika pole mbona wamekuwa wakimya sana.

Hatujasikia hekima na busara zao na kuungana na wote wanaomtakia Mhe Tundu Lissu Afya njema.

Ukikumbuka Mhe Tundu Lissu amefanya nao kazi kuhusu haki na democrasia tunajiluliza kulikoni kimya chao dhidi ya Askari mwenzao kwa madhila yaliyomfika mwenzao???
 
Kawapigie simu uwaulize. Mmoja yuko Canada sijui kwa hela ya nani wakati anadai ni mla mihogo na mwingine yuko Buguruni anafanya kazi ya kufukuza wabunge wa chama chake.
Umesema mmoja yuko CANADA ... mwingine yuko BUGURUNI ..... Je huyo alibakia yuko wapi .... mbona wamkwepa? KULIKONI!!!!????
 
Mambo ya lissu anayajua mwenyewe wap alilikoroga na lazima alinywe....Slaa, Mbatia na lipumba hawana mda wa kijinga
 
Ujinga unao wewe, siku zinakuja lazima utajuwa makosa unayofanya leo, kushangilia yaliyomkuta Lissu!! Kumbuka tulikuwa na akina Kolingba, Kingunge, Sumaye, Lowassa, Nape nk, hawa daima walikanyaga red carpet nyuma ya mkubwa, lakini ilifika wakaachana sembuse na wewe?!
 
Hata wewe mwajiri wako anakunyanyasa kwa mambo mengi..ila jarbu kumuattack uone atakavyokukamua kinyesi....utaishia kula pumba na maji mpak ukome...mtu anamiliki silaha zote za nchi..wew hata rungu kwnye gar huna...kutwa unamropokea ili upate sifa...matokeo yake kageuzwa bucha...apambane na hali yake
 
Akili hizo ulizonazo ndio zimeifanya nchi yetu kuwa nyuma hata kwa mataifa tuliyoyapigania kupata uhuru!!! Kwamba huwezi kuhoji, Kukosoa, kushauri nk. Ni upofu kuunga mkono kila kitu ati kwa vile bosi wako ni amiri jeshi!!

Siku moja utataka awepo mtu kama Lissu kuhoji udhalimu unaofanywa na watawala e.g. mikataba mibovu iliyoifunga nchi mikono wakati raslimali inachukuliwa.
 
Hata wewe mwajiri wako anakunyanyasa kwa mambo mengi..ila jarbu kumuattack uone atakavyokukamua kinyesi....utaishia kula pumba na maji mpak ukome...mtu anamiliki silaha zote za nchi..wew hata rungu kwnye gar huna...kutwa unamropokea ili upate sifa...matokeo yake kageuzwa bucha...apambane na hali yake
Kwa hiyo umethibitisha kuwa ndiyo mnahusika juu ya hayo matukio??
 
Wanajamvi

Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida

Kitendo alichofanyiwa Mhe Tundu Lissu

Licha ya kumtakia pole na Afya njema wametoa kauli huu sio Utanzania sio jambo jema wakilikemea na kutoa maelekezo vyombo husika vichukue hatua na kuiasa Jamii yote tusikubaliane na Jambo hili.

Swali wenzetu hawa ambao kauli zao kuhusiana na matukio mbali mbali wamekuwa wakitoa ya moyoni kwa ajili ya Taifa na walioathirika pole mbona wamekuwa wakimya sana.

Hatujasikia hekima na busara zao na kuungana na wote wanaomtakia Mhe Tundu Lissu Afya njema.

Ukikumbuka Mhe Tundu Lissu amefanya nao kazi kuhusu haki na democrasia tunajiluliza kulikoni kimya chao dhidi ya Askari mwenzao kwa madhila yaliyomfika mwenzao???
Kwani wewe una maoni gani kuhusiana na kadhia hii?usidhani suala hili kila mtu anaweza kuropoka tu ni suala baya na gumu sana tena la hatari wale loose mouth hawasaidii chochote zaid ya kutafuta cheap popularity ndio maana key players wa mambo ya kinchi wako kimya wakitafakari(kama kweli hawajui au wanatafuta right words au moves)
 
Kila mtu anajua TL alikuwa mhuni tu. Mwenye akili zote kabisa huwezi ukasema alikuwa anasaidia. Hii ya kukamatwa kwa ndege zetu?

Au kumleta EL kwenye usajili wa 2015.

Kinachoumiza TL ni kuvamiwa na si uzalendo wake.
Wanajamvi

Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida

Kitendo alichofanyiwa Mhe Tundu Lissu

Licha ya kumtakia pole na Afya njema wametoa kauli huu sio Utanzania sio jambo jema wakilikemea na kutoa maelekezo vyombo husika vichukue hatua na kuiasa Jamii yote tusikubaliane na Jambo hili.

Swali wenzetu hawa ambao kauli zao kuhusiana na matukio mbali mbali wamekuwa wakitoa ya moyoni kwa ajili ya Taifa na walioathirika pole mbona wamekuwa wakimya sana.

Hatujasikia hekima na busara zao na kuungana na wote wanaomtakia Mhe Tundu Lissu Afya njema.

Ukikumbuka Mhe Tundu Lissu amefanya nao kazi kuhusu haki na democrasia tunajiluliza kulikoni kimya chao dhidi ya Askari mwenzao kwa madhila yaliyomfika mwenzao???
 
Mambo ya lissu anayajua mwenyewe wap alilikoroga na lazima alinywe....Slaa, Mbatia na lipumba hawana mda wa kijinga
Jana viloba viwili na mmoja jiwe kubwa kifuani wote baharini na hawa wamewakosea nini? nao ni kazi ya wasiojulikana,bora lisu anapinga mambo yenu je hawa?
Ipo haja jitizameni upya kenge.
 
Wanajamvi

Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida

Kitendo alichofanyiwa Mhe Tundu Lissu

Licha ya kumtakia pole na Afya njema wametoa kauli huu sio Utanzania sio jambo jema wakilikemea na kutoa maelekezo vyombo husika vichukue hatua na kuiasa Jamii yote tusikubaliane na Jambo hili.

Swali wenzetu hawa ambao kauli zao kuhusiana na matukio mbali mbali wamekuwa wakitoa ya moyoni kwa ajili ya Taifa na walioathirika pole mbona wamekuwa wakimya sana.

Hatujasikia hekima na busara zao na kuungana na wote wanaomtakia Mhe Tundu Lissu Afya njema.

Ukikumbuka Mhe Tundu Lissu amefanya nao kazi kuhusu haki na democrasia tunajiluliza kulikoni kimya chao dhidi ya Askari mwenzao kwa madhila yaliyomfika mwenzao???
Umesahau USALITI alianza zamani.....babu SLAA na Proffessor hawawezi kumsahau kwa mambo aliyowafanyia......TUNDU alikula MLUNGULA na alimtosa DR SLAA kirahisi katika MCHAKATO wa MWENYEKITI wa Chama Kuuza nafasi ya kiti cha uraisi kwa MGOMBEA aliyeingia GHAFLA kwenye chama na MTAJI WA WAPIGA KURA MILION MMOJA
 
Back
Top Bottom