Prof: Lipumba & Maalim Seif wafanya kufuru Jadida Wete Pemba

5523

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
1,727
1,631
Jana tarehe 20/12/2014 Uongozi wa CUF Bara na Visiwani pamoja nakamati ya maridhiano Kule Wete Pemba walifanya kufuru ya aina yake kwa mkutano uliofananishwa na ile Kibanda Maiti. Lipumba ndio alikuwa mwenyekiti na mgeni wa Heshima wa Mkutano.

Akiongea na maelfu watu wa Wete Pemba prof.Lipumba anasema ccm ni chama mafisadi akitoa mchanganuo wa 1.6 ya Escrow amesema kama watu elfu1 hapa Wete kila apewe milioni moja la sita.

Akizungumiza mafisadi waliokula fedha za Umma Escrow amesema kuwa wapo ambao wamekula milioni 800, wengine 400 na waliopunjwa ni milioni 40 akina Ngeleja ambao walilalamika kwa mgao mdogo.

Pia amehoji ivi ccm gani hapa Wete ambaye amepata mgao huu? Kwa msingi huo ccm ni chama cha Mafisadi.

Pia akizungumzia suala la rada, amesema Tanzania ilihitaji rada yenye thamani $ mil5 lakini kwa sababu za kifisadi Tanzania imeuziwa rada hiyo kwa $milioni 40 fedha za wananchi. Mh Andru Chenge kwenye akaunti yake ya nje aliingiziwa $milioni 1.5 baada ya uchunguzi wa manunuzi ya rada hiyo ambapo pia alifafanua kama kuna watu elfu1 hapa kila mtu atapata milioni 2 na laki7. Andru Chenge alipoulizwa akasema zile hela ni vijisent tu fedha ya soda.

Lipumba anasema tunaposema CCM ni chama cha mafisadi sio kwamba ni kauli mbiu tu ya kisiasa lakini kuna ushahidi wa kila namna juu ya ufisadi wao tena mchana kweupee. Huku akishangiliwa na ummati watu anawaulisa ccm wa Pemba ivi nyinyi ccm wa Pemba mumepata mgao huooooo wa kifisadi mpaka mnaendelea kubaki ccm??? Watu wanashangilia ile mbayaa.

Pia amemkariri Dr Slaa wa Chadema kuwa amegundua kuwa UKAWA wamegundua mazunmgumzo ya Rugemlalila na Rais Kikwete kumtaka rais asichukue hatuza zilizoidhinishwa na bunge Rugemalilao wanaandaa mpango wa kujibu hoja za bunge na kupangua kila kitu pamoja na wananchi kuelezwa kwa utaratibu ambao Rugemalila wapo bizy sasa kuandaa na watakapomaliza mpango huo watamkabidhi Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuuwasilisha kwa Rais Kikwete na ndio maana Rais Kikwete anachelewa kutoa maamuzi hayo yaliyokubaliwa na kupitishwa na bunge.

Najaribu kuweka Video mujionee hapa LIVE.
 
P1.jpg
 
tutaamini vipi bila picha??? halafu lipumba naona uzee unamnyang'anya uchumi wake. kuwadanganya wananchi ati kila mmoja apewe milioni moja na laki sita. halafu iweje? si ni kwamba unawaambia wengine wakaongeze wake na wengine waende kwenye starehe mombasa na unguja? mchanganuo wake ni hadaa kwa wananchi kwani yeye kama mchumi angetakiwa atoe njia mbadala kwa serikali kuongeza kipato ili kuboresha maisha ya wananchi na sio kuwahadaa kuwa watapata milioni moja na laki sita. Isitoshe lipumba na maalim seif pamoja na kuwepo SUK bado maalim ameshindwa kusukuma maendeleo kwao pemba lakini bado yuang'ang'ania kuingia ikulu kwa udi na uvumba. Tusubiri sanduku la kura 2015 maana hata sisi tumejiandaa vilivyo na huo uongo wenu tutamtuma katibu mkuu wetu huku unguja aende pemba akawafafanulie wananchi. Sisi tutatupia na picha ili tusiwaongopee wananchi lakini ninyi kwa kuwa mmezoea uongo mmeogopa kutupia picha.

p3.jpg
Huyu mama alidumu kwenye ccm miaka nenda miaka rudi sasa ameamua kuvaa sare za CUF nguo zenye heshima na mvuto tofauti zile za kijani zenye kuashiria umwagaji wa damu
 
tutaamini vipi bila picha??? halafu lipumba naona uzee unamnyang'anya uchumi wake. kuwadanganya wananchi ati kila mmoja apewe milioni moja na laki sita. halafu iweje? si ni kwamba unawaambia wengine wakaongeze wake na wengine waende kwenye starehe mombasa na unguja? mchanganuo wake ni hadaa kwa wananchi kwani yeye kama mchumi angetakiwa atoe njia mbadala kwa serikali kuongeza kipato ili kuboresha maisha ya wananchi na sio kuwahadaa kuwa watapata milioni moja na laki sita. Isitoshe lipumba na maalim seif pamoja na kuwepo SUK bado maalim ameshindwa kusukuma maendeleo kwao pemba lakini bado yuang'ang'ania kuingia ikulu kwa udi na uvumba. Tusubiri sanduku la kura 2015 maana hata sisi tumejiandaa vilivyo na huo uongo wenu tutamtuma katibu mkuu wetu huku unguja aende pemba akawafafanulie wananchi. Sisi tutatupia na picha ili tusiwaongopee wananchi lakini ninyi kwa kuwa mmezoea uongo mmeogopa kutupia picha.
katibu mkuu wenu naye kachoka kuendelea kuwatetea waovu wa ccm, ambao hata shetani anawashangaa.
 
Viongozi wa tz ni mambulula, wananchi nae tu mbulula vilevile haiwezekan wajizi,mafisad ndo tuyape kazi yakuwa adhidu mafisadi majizi menzie INAKERA SAA HALAFU HUYU CHENGE IKITOKEA LEO KAFA NAKUNYWA SODA 20 TENA ZAKOPO
 
kwa mara1 au kila siku1 izo soda
 
Back
Top Bottom