Prof Lipumba kuzindua operation MCHAKAMCHAKA Jangwani 9/9/2012

Mambo ya CUUUUUUUUUUUUUUUUUUUFFFFFFFFFFFFFFFF

Cuf.jpg
 
The true colour.........................................................................:wacko::nerd:

04_09_4heph61.jpg
 
CUF - Katibu Mkuu wake ni Makamu wa Raisi wa CCM serikalini.
CUF - Mwenyekiti wake? Heri angepewa hata ubalozi wa nyumba kumi!
 
Haya yetu macho na masikio lakini kama mtafanikiwa kwenye harakati zenu mtastahili pongezi.
 
Wamechelewa sana, kuiga hata CCM walijaribu lakini wapi, ngoja nao wajaribu bahati yao labla wanaweza kuokoteza masalia.

CUF ilikufa rasmi huku bara kwenye uchaguzi wa Igunga, na lilikuwa funzo zuri kwao kwamba zama zao zimekwisha na huo ndio mwisho wao.

Kosa lao wanalijua bahati mbaya sana muda umekwenda sana na tatizo haliwezi rekebishika tena.

Tunawatakia siasa njema wapenzi na wanachama wote wa CUF.
 
Professor mzima unabakia kucopy na kupaste! Ndio maana kila wakati nasema huu uprofesa huu, ipo shida.
 
Mmefulia CUF. Lipumba mwenyewe hata hapa kwao ILOLANGULU mkoani Tabora hamuelewi elewi! Pia CUF imetiwa kwapani na Chama Cha Majambazi (CCM). Aibu yenu!
 
Mambo ya CUUUUUUUUUUUUUUUUUUUFFFFFFFFFFFFFFFF

Cuf.jpg
CUF ni wabunifu sana!!
Hii picha inanikumbusha machungu ambayo hayatasahaulika mioyoni mwa wanaCUF siku zote hasa Julius Mtatiro, kwani toka CUF imeanzishwa uchaguzi wa Igunga ndio uliowafanya watumie kila aina ya mbinu na juhidi, tulishuhudia kampeni za kutembea kwa miguu,baiskeli,pikipiki,magari,helcopter hadi punda lakini wapi, mtaji wa kura 10000 ukashuka mpaka kura 2000.

Naamini CUF hawatajaribu tena kusimamisha mgombea ubunge Igunga kama uchaguzi utaitishwa siku za karibuni.

Ama kweli siasa zina tamu na chungu!!
 
Inawezekana huyu prof ni mchumia tumbo mzuri sana. Mambo anayofanya hayaoneshi kama elimu ilipenya fuvu la kichwa kwneda kwenye ubongo wake.

Hivi CUF wanasimamia nini hasa muda huu?

I can stand a chance to define bat (POPO) but I will struggle to define CUF.
 
Kuanzia operation Arusha kunadhihirisha kuwa huyu ni Professor uchwara. Huwezi kuanza na maswali magumu in an exam.
 
Hiyo safari ya Arusha imeandaliwa na Mme anataka kutest zari kuangalia upepo utavumaje.
 
Back
Top Bottom