Prof Lipumba kutua Tabora kupokelewa na Maandamano.

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
Mwenyekiti wa chama cha wanainchi CUF atawasili tabora jumatatu kwa ndege na kupokelewa na maandamano yaliyoandaliwa na wakazi ambapo jioni atahutubia mkutano mkubwa kabla ya kuelekea Igunga siku ya jumanne ambapo kutafanyika maandamano makubwa kabla ya kufungua kampeni za chama hicho kitaifa, wanainchi wa Igunga wamehamasika sehemu mbalimbali mazungumzo ni mapokezi ya Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba.
 
Magamba B haooooooooooo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom