Prof Lipumba kutua KIGOMA, Maalim seif Morogoro Mchakamchaka 2015.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
viongozi wakuu wa chama cha wanainchi Cuf leo wanatarajiwa kuanza ziara mikoa tofauti, wakati mwenyekiti wa taifa ataanza ziara mkoani kigoma katibu mkuu atakuwa mkoa wa morogoro, ambapo wanatarajiwa kuzindua matawi mapya ya chama na kupokea wanachama wapya.
 
Tunawataki kila la heri lakini wasifanye kama Arusha
 
Sana sana Pumba ataishia Kutoka Ponda na yule sijui fara wa Zanzibar waachiwe.
 
Tunawataki kila la heri lakini wasifanye kama Arusha

mkuu ni zaidi ya yaliyotokea ARUSHA, kuna wanachama wengi kutoka CCM na CHADEMA na hasa chadema wanasema wamechoshwa na ubaguzi wao wa kidini na ukabila wanaomfanyia ZITTO.
 
Kambi ya kudumu Arusha imeota mbawa? Kuna mjane huko wa kutokelezea naye kwenye mkutano?
 
mkuu ni zaidi ya yaliyotokea ARUSHA, kuna wanachama wengi kutoka CCM na CHADEMA na hasa chadema wanasema wamechoshwa na ubaguzi wao wa kidini na ukabila wanaomfanyia ZITTO.

Mmekodi behewa ngapi kutoka dar mkuu?
 
du hiyo bajeti ya kutoa coaster dar mpaka kigoma si chama kitafilisika au buzzi ccm litachomoa.
 
asimilia....tisini ya wakazi wa kigoma.....ni waisilamu na cuf....inapedwa sana waisilamu......natumai wanachi watajitokeza kwa wingi.....
 
Jamiiforums na UDINI utawamaliza!!! Hakuna topic inayowekwa ikakosa mchango wa chokochoko za KIDINI! Ukiona mti unapopolewa kwa mawe ujue una matunda.
 
mkuu ni zaidi ya yaliyotokea arusha, kuna wanachama wengi kutoka ccm na chadema na hasa chadema wanasema wamechoshwa na ubaguzi wao wa kidini na ukabila wanaomfanyia zitto.

wamechoshwa na ubaguzi upiii mkuuu mbona hwi muazi au umetumwa naona hamna seraaa mnatapatapa weee boko haramuuu nini?
 
Siamini katika udini wala siasa za kupakana matope,kama CUF wanataka kurudi kwenye ulingo wa upinzani basi watueleze wazi kuwa wao ni wapinzani kwa maana gani maana haiwezekani ukawa unaongoza serikali na wakati huo huo unajiita mpinzani.

Kwa kuwa CUF imepoteza mwelekeo hasa bara si vibaya wakajipanga upya na kutafuta wanachama wapya hasa sehemu wanazoona wana mtaji.

Nawatakia kila la kheri ila tu wasibebe watu kutoka sehemu nyingine kwenye mikutano yao na waridhike na kile watakachokipata
 
mkuu ni zaidi ya yaliyotokea ARUSHA, kuna wanachama wengi kutoka CCM na CHADEMA na hasa chadema wanasema wamechoshwa na ubaguzi wao wa kidini na ukabila wanaomfanyia ZITTO.
we ndiyo mdini,unabaki unaota ndoto wakati Zitto anachanja mbuga Rombo kwenye kampeni,hata ukijitahidi udini hauna nafasi cdm,peoples............
 
Lipumba angeanzia Sikonge. Kura walizopata kwenye udiwani huko ni aibu kwake.
 
Mmm, Lipumba huko si ndio kwao? kama huyu hata Tabora hawamkubali anawezaje kukubalika sehemu nyingine? Charity i think should start at home! Anyway, inawezekana alitoka huko home tokea enzi hizo akiwa anasoma A-Level so wanamwona kama TX hivi!
 
Back
Top Bottom