Prof. Lipumba: Kuna hali mbaya CUF,fedha za ruzuku hazitoki sababu ya mgogoro ndani ya Chama

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Prof Ibrahim Haruna Lipumba yupo Tabora.Huko ndio kwao,kijiji cha Ilolangulu ambacho ni kilomita kadhaa kutoka Tabora mjini.Leo Prof alikuwa na wanachama wa CUF Mkoa wa Tabora akiwasisitiza kuwa kwa sasa ndani ya CUF hali ni ngumu sana.

Prof anaseema hata yeye anasafiri kwa shida na taabu sana,sbb mgogoro ndani ya CUF umefanya ruzuku ya chama izuiliwe mpaka pale mgogoro utakapotatuliwa.Prof anawaambia wananchi na wanachama wa Tabora,ameamua kurudi kwenye Chama na kutengua barua yake baada ya kuona chama kinaenda kombo...anaomba wana Tabora wamuunge mkono,maana katika ngome za CUF huku Tz Bara,basi Tabora ndio maeneo yake.

Naye Mwanachama aliyesimamishwa Abdul Kambaya anasema CUF ni ya Tanzania bara na si Zanzibar,maana waanzilishi wake kina Mapalala na Mzee Mloo ndio waliohangaika na CUF,wakati kule Znz kulikuwa na KAMAHURU kwa ajili ya Wazanzibar,sasa haiwezekani CUF ya Tz Bara iliyowaalika tu watu kama kina Maalim Seif toka Znz waje bara na kutaka kutawala siasa za CUF.Kambaya anasema Maalim Seif na watu wake waende kuhuisha KMAHURU yao na waachie CUF kwa Watanzania Bara wanaojua uchungu wake.

Amesisitiza kuwa Tabora ni ngome ya CUF miaka mingi,lkn ajabu uchaguzi wa mwaka jana mji mzima ulijaa bendera za CHADEMA.

Prof amemalizia kwa kuwaomba wana Tabora kumuunga mkono ili kukirudisha chama cha CUF mikononi mwa wananchama wa Tanzania bara.Haya ndio maneno ya "Bwana Yule" leo,huko Mboka Manyema
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Kama sijakosea kuna makubaliano ya kugawana ruzuku toka CDM/UKAWA hivyo wenzake wateendelea kupata chochote na yeye atulie kwanza.
 
Propesa pumba ukimaliza hela za ccm useme na hadi sasa mission of sabotage failled pamoja na Mtungi wako mliyopewa kazi na Mtukufu pamoja na saccos yake.
Hakika na daima GIZA halitoweza kushinda NURU...na aibu ya wasaliti ni kuteseka hadi hadi kufa kwa laana si inaona propesa unavyoteseka hadi utoboe...m
 
Prof Ibrahim Haruna Lipumba yupo Tabora.Huko ndio kwao,kijiji cha Ilolangulu ambacho ni kilomita kadhaa kutoka Tabora mjini.Leo Prof alikuwa na wanachama wa CUF Mkoa wa Tabora akiwasisitiza kuwa kwa sasa ndani ya CUF hali ni ngumu sana.

Prof anaseema hata yeye anasafiri kwa shida na taabu sana,sbb mgogoro ndani ya CUF umefanya ruzuku ya chama izuiliwe mpaka pale mgogoro utakapotatuliwa.Prof anawaambia wananchi na wanachama wa Tabora,ameamua kurudi kwenye Chama na kutengua barua yake baada ya kuona chama kinaenda kombo...anaomba wana Tabora wamuunge mkono,maana katika ngome za CUF huku Tz Bara,basi Tabora ndio maeneo yake.

Naye Mwanachama aliyesimamishwa Abdul Kambaya anasema CUF ni ya Tanzania bara na si Zanzibar,maana waanzilishi wake kina Mapalala na Mzee Mloo ndio waliohangaika na CUF,wakati kule Znz kulikuwa na KAMAHURU kwa ajili ya Wazanzibar,sasa haiwezekani CUF ya Tz Bara iliyowaalika tu watu kama kina Maalim Seif toka Znz waje bara na kutaka kutawala siasa za CUF.Kambaya anasema Maalim Seif na watu wake waende kuhuisha KMAHURU yao na waachie CUF kwa Watanzania Bara wanaojua uchungu wake.

Amesisitiza kuwa Tabora ni ngome ya CUF miaka mingi,lkn ajabu uchaguzi wa mwaka jana mji mzima ulijaa bendera za CHADEMA.

Prof amemalizia kwa kuwaomba wana Tabora kumuunga mkono ili kukirudisha chama cha CUF mikononi mwa wananchama wa Tanzania bara.Haya ndio maneno ya "Bwana Yule" leo,huko Mboka Manyema
View attachment 434286 View attachment 434287 View attachment 434288 View attachment 434289
Kambaya kwishnei, njaa itamuua! Liprofesa lenyewe limekongoroka mabega! hivi kweli kuna CUF bila Zanzibar wakati huku Zanzibara wanachama wa CUF hawajai pishi?!
 
Prof Ibrahim Haruna Lipumba yupo Tabora.Huko ndio kwao,kijiji cha Ilolangulu ambacho ni kilomita kadhaa kutoka Tabora mjini.Leo Prof alikuwa na wanachama wa CUF Mkoa wa Tabora akiwasisitiza kuwa kwa sasa ndani ya CUF hali ni ngumu sana.

Prof anaseema hata yeye anasafiri kwa shida na taabu sana,sbb mgogoro ndani ya CUF umefanya ruzuku ya chama izuiliwe mpaka pale mgogoro utakapotatuliwa.Prof anawaambia wananchi na wanachama wa Tabora,ameamua kurudi kwenye Chama na kutengua barua yake baada ya kuona chama kinaenda kombo...anaomba wana Tabora wamuunge mkono,maana katika ngome za CUF huku Tz Bara,basi Tabora ndio maeneo yake.

Naye Mwanachama aliyesimamishwa Abdul Kambaya anasema CUF ni ya Tanzania bara na si Zanzibar,maana waanzilishi wake kina Mapalala na Mzee Mloo ndio waliohangaika na CUF,wakati kule Znz kulikuwa na KAMAHURU kwa ajili ya Wazanzibar,sasa haiwezekani CUF ya Tz Bara iliyowaalika tu watu kama kina Maalim Seif toka Znz waje bara na kutaka kutawala siasa za CUF.Kambaya anasema Maalim Seif na watu wake waende kuhuisha KMAHURU yao na waachie CUF kwa Watanzania Bara wanaojua uchungu wake.

Amesisitiza kuwa Tabora ni ngome ya CUF miaka mingi,lkn ajabu uchaguzi wa mwaka jana mji mzima ulijaa bendera za CHADEMA.

Prof amemalizia kwa kuwaomba wana Tabora kumuunga mkono ili kukirudisha chama cha CUF mikononi mwa wananchama wa Tanzania bara.Haya ndio maneno ya "Bwana Yule" leo,huko Mboka Manyema
View attachment 434286 View attachment 434287 View attachment 434288 View attachment 434289
Huyu Si ndo yule prof anaelala Ofisin pale buguruni?

Sent from mTalk
 
Back
Top Bottom