Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Ukweli ni upi sasa??uzushi mtupu huu. Lipumba yupo sanaaa
Anajiuzulu kwenye nini! Kama uenyekiti alishajiuzulu, na uanachama alikwisha fukuzwa! Au anajiuzulu uwakala wa CCM!Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Nalo neno aiseHuenda wale wafadhili wake wamejitoa.Ruzuku nayo aliyokuwa akiitegemea wajanja wakamuwahi sasa ameamua kubwaga manyanga.
Anajiuzuru kwa mara ya ngapi?! Kamati ya uongozi si ndiyo inayoongoza chama hata sasa?!Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Naona kazi aliotumwa kaifanikisha. Alitumwa kumvuruga Maalim Seif ili hasahau masuala ya Zanzibar na kudili na chama.
Bora apite hivi amekuwa ni kwikwi..Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya uongozi.
Imegonga mwamba ndio maana wameamua kumtosa.Hujasikia balozi kapendekeza iundwe Serikali ya Mseto?.Jamaa wameona anawamalizia pesa zao bure.Inahitaji akili ya ziada kupambana na Maalim.