Prof. Lipumba kuibuka mshindi wa mwanzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba kuibuka mshindi wa mwanzo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Oct 20, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa wale wengi waliokuwa wakitarajia kuwa Lipumba amepoteza wakati wake na kwa wale ambao walikuwa wakiamini kura za maoni zilizokuwa zikirushwa kwenye vyombo vya habari ndizo zinazoashiria Raisi mtarajiwa ,watu hao wote mtakuwa mmepotezwa na mtasaga meno mtakaposikia matokeo kuwa Mshindi wa Uchaguzi wa Uraisi ni Lipumba.

  Mpaka hapa tulipo utafiti wa ndani kabisa ambao umekuwa ukiendeshwa kikampeni kwa kufuatilia target alizozilenga mgombea Uraisi wa CUF kwa upande wa Muungano zinaonyesha kuwa Lipumba amekubalika katika sehemu nyingi sana ,utafiti huo ambao uliwalenga registered voters walio katika ,mkusanyiko wa makundi ya mitaa ,mikusanyiko katika sehemu za ibada ,pia uliwalenga wakuu wa sehemu za vijiji (watu wanaokuwa na ushawishi mkubwa au wenye kukubalika mawazo yao na watu wa vijiji) umeonyesha kuwa Lipumba ndie mtu alieafikiwa ukilinganisha na viongozi au wagombea wengine.

  Uchunguzi mwengine ambao huu uliendeshwa katika miji mikuu ulikuwa ni ule wa door to door au nyumba kwa nyumba ,huu uliwahusisha viongozi au valantia wa husika ambao wamo mitaani kuweza kupita na pia kuwatumia marafiki zao ,kupita nyumba kwa nyumba kutafuta maoni ,wengi sana walijibiwa kuwa Lipumba peke yake ndie mwenye uwezo na muelewa wa wapi tulipo WaTz na wapi tunapotaka kuelekea ,hivyo matarajio yao ni kumpa kura zao Lipumba , ikiwa uchaguzi utakuwepo na utakuwa wa amani.

  Wote wa waliotakiwa kutoa maoni yao ni wale tu wenye shahada za kupigia kura ,na kampeni hiyo imefanyika na inaendelea kufanyika kwa nchi nzima ,na matokeo yake yanaridhisha sana sana kuwa Lipumba amekubalika vizuri kwa wapiga kura.

  Baadhi ya waliochunguzwa maoni yao wamekiri kuwa wanahudhuria mikutano ya wagombea wote bila ya kuchagua kuwa huyu ni wa chama gani na wengine wamesema hawajawahi kuhudhuria mikutano ya Lipumba lakini wameona na kusoma kwenye sehemu mbalimbali ni jinsi gani Lipumba ana elimu ya kuweza kuwakomboa ,wahojiwa hao waliongezea kuwa kuhudhuria kwao kwenye mikutano ya vyama vingine kwa wingi kusichukuliwe kuwa wao watampigia kura mgombea huyo kwani wameshaamua ni wapi wanazipeleka kura zao.

  Mtanzania uliebaki fahamu kuwa wengi wa WaTanzania wanafanya maamuzi makubwa kuhusu hatima ya nchi yao kwa kumchagua Lipumba ,na wewe shiriki na washawishi wengine kumchagua Lipumba ili muwemo katika historia hii ya kuiondoa CCM madarakani.
  It will cost you nothing or harm you to vote for Lipumba ,timiza wajibu wako.
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  You must be joking
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280  Hapana labda CUF wameendesha utafiti wao wamebaini Lipumba atashinda mwache ajifurahishe tarehe 31/12/2010 si mbali.
   
 7. A

  August JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ni kweli atachukua kura nyingi saaana za Jakaya Mrisho Mwakikwete
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  @Mwafrika jk+na+slaa.jpg
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Sawa bwana. Tumesikia.
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Umeleta picha ya Dr Slaa akimpa shule (seminar) kilaza Kikwete?

  Una nyingine?
   
 11. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapana Slaa ni sawa kupiga na kikwete ila Lipumba ni mamluki hii ndio siasa ya Chadema nimeipenda sana siasa hii lakini ni chungu maana ina harufu ya kibaguzi sijui wa kidini au wa kikabila wenyewe mnalijua hili. Kazi kwenu ila mjue muyafanyayo hayana nafasi kwenye nchi hii hatutakubali mshike dola tutafanya hivyo kwa kupiga kura na sio kupiga domo kwenye webusaiti. Mjue kuwa waliojiandikisha wasiokuwa na vyama ni wengi na wana maamuzi hasi juu ya chama chenu msibabaike na kura za maoni za JF maana jiulizeni waliopiga kura hapa JF ni asilimia ngapi ya waliojiandikisha kupiga kura? mkipata jibu mtajua nani ataibuka na ushindi.

  Ni naamini mnalijua hili na ndio maana hamwishi kulialia mara sijui kura zenye tiki kwa JK zimeonekana mara TBC wanachakachua kura mara vile mara hivi nyie lalamikeni ila mjiandae kupokea matokeo siku hiyo ikifika.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Politics
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red umepaona? Halafu utafiti wa ndani Lipumba ataibuka mshindi wa mwanzo kutoka mwisho? Sasa kama ni mshindi wa mwanzo unapiga kampeni tena humu JF? Hizi ni ndoto za mchana, ila una moyo kuweza kupingana na hali halisi, pole.
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :dance::dance::dance::dance:
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Keep dreaming!!!!!!!
   
 16. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Unaota mkuu au malaria iimekupanda kichwani?
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hahahaaaaaa!!! mie ndio doctor wa mapenzi,silaha,hakika nikiwa rais wa tanzania mtanikomaje??
   
 18. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lipumba tunamuamini na kura yangu nitakupa
   
 19. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :mmph::mmph::mmph::mmph:
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  :biggrin1:
   
Loading...