Prof. Lipumba: JK anastaahili kuwa Waziri wa Sanaa na Michezo

Hapana,kwa hii list alitakiwa kuwa waziri wa Mapenzi.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu
Wa dada Vickie hapo wapo?
 
swali dogo tumenufaika nn na u prof wako wa uchumi

Siasa za kitanzania ni za kinafiki sana.huwezi kuuliza swali kama hilo, serikali kumtumia wanaona kama watampaisha kisiasa!! Kitu ambacho ni ujinga tu, mala ngapi amekuwa akitoa ushauri juu ya matumizi makubwa ya serikali na deni la taifa anaibuka mtu hata elimu ya form 4 hana anaanza kumukosoa prof!! Kuwa anaongea pumba hii inatokea tz tu.Kwa siasa za Tz hata uwe mkurugenzi wa IMF/WB kama we ni Mtanzania na unashauri kitaalam serikali hii utaonekana mwehu tena unatumwa wa upande mwingine kisiasa!! Ndio maana prof lipumba anatumika na watu wanaojua na kuthamini elimu za watu si tukalie siasa zetu.
 
kama kweli lipumba angekuwa na uwezo wa fikra pana angemshauli mbowe juu ya hili.
Prof Baregu: Siu

Prof Baregu: Siungi Mkono Maamuzi juu ya Zitto ila "SULUHU" ni njema

UTANGULIZI:

Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa
>>
>>
>> Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
 
kama kweli lipumba angekuwa na uwezo wa fikra pana angemshauli mbowe juu ya hili.
[h=2]Prof Baregu: Siu[/h][h=2]Prof Baregu: Siungi Mkono Maamuzi juu ya Zitto ila "SULUHU" ni njema[/h]
UAMUZI wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumvua madaraka, Zitto Kabwe unadaiwa kuanza kukitesa chama hicho na kwamba sasa uongozi
.......
.......
Hatua hiyo ilififisha dhana ya uwepo wa demokrasia na badala yake ukawa mwanzo wa kuzaliwa kwa makundi.​
Poor comment from poor thinker as usual.
 
wenye upungufu wa akili ndiyo wanaamini hivyo lakini wenye akili zao wanajua anachofanya jk mazuzu wabaki wanapiga kelele jk kaweza na sasa anasonga mbele.

Samaki analiwa pande zote, ni kweli au wanamsingizia?
 
[font=&quot]mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim lipumba amesema kuwa kutokana na usanii wa rais kikwete alistahili kuwa waziri wa michezo na utamaduni ili awe na kazi moja tu ambayo ni ya kuwa mgeni wa heshima katika kufungua michezo ya warembo.[/font]

[font=&quot] [/font]
[font=&quot]alitoa kauli hiyo alipokuwa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mbeya ambao walihudhuria katika mkutano wa ukawa uliofanyika katika uwanja unaojulikana kwa jina la dk.slaa uliopo jijini mbeya.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]alisema analazimika kusema hivyo kutokana na usanii wake ambao anaufanya wakati wa kuongoza nchi kutokana kwa kutokuwa na maamuzi.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]“wakati nagombea urais nilitamani nikiwa rais niweze kumchagua kikwete kuwa waziri wa michezo na utamaduni ili aweze kuwa na kazi moja ya kuwa mgeni wa heshima katika kufungua sherehe za warembo.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]“nilitamani kufanya hivyo kutokana na kile nilichokiamini kuwa rais kikwete siku zote ni msanii na ndiyo maana amekuwa akishindwa kusimamia maamuzi ndani ya serikali yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kukubaliana na mawazo ya vyama vya siasa vya upinzani kwa kudai katiba mpya[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]“lakini nilimwona rais kikwete kutokuwa msanii pale ambapo alikubali maoni ya vyama vya upinzani kukubali kuanzisha mchakato wa katiba mpya na kutokana na hilo nililazimika kumwandikia barua ya kumwomba radhi kwa kumwita msanii nikidhani sasa ameachana na usanii wake..[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]“lakini cha kushangaza wakati wa uzinduzi wa rasimu ya katiba alipokuja kuzindua bunge maalum la katiba alikuwa kioja kwa kupinga tume ya jaji warioba ambayo aliiunda mwenyewe jambo ambalo lilinifanya kumwona rais kikwete kuwa bado ni msanii na bado hajaacha usanii wake”alisema prof lipumba.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]aidha alisema kuwa kwa upande wake waziri mkuu mizengo pinda hana lolote ambalo anaweza kulifanya katika serikali yake bali amefanikiwa kuanzisha mkoa mpya wa katavi tu.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]alisema kuwa ccm imekuwa ikiwazeesha wananchi wa tanzania kutokana na kuwa na viongozi wasiojali masilahi ya wananchi hususani vijana wa jiji la mbeya.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]kwa upande wake alatanga nyagawa ambaye ni makamu mwenyekiti chadema nyanda za kusini alisema kauli za katibu wa ccm taifa abrahamanhman kinana na katibu wa itikadi na uenezi,nape nauye kudai kuwa wananchi hawana haja ya katiba ni sawa na kuwatusi wananchi.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]mbali na hilo alisema kuwa ili kuthibitisha maneno yao kuna kila sababu ya kujia nia yao ni nini kwani wanafanya mambo ambayo utadhani kuwa wao siyo watanzania.[/font]
[font=&quot] [/font]
[font=&quot]hata hivyo alisema kuwa kinana amekuwa akifanya biashara nyingi ambazo zinatakiwa kuchunguzwa uhalali wake kutokana na kuwa amekuwa akituhumiwa kufanya biashara ambazo si halali.[/font]
[font=&quot] [/font]

hivi hakuna hata kiongozi mmoja ndani ya chama tawala anayeweza kuthubutu kuwakemea wazi wazi na kuwachukulia hatua kalu zaidi hawa wakoloni ndai ya ccm?
 
wenye upungufu wa akili ndiyo wanaamini hivyo lakini wenye akili zao wanajua anachofanya jk mazuzu wabaki wanapiga kelele jk kaweza na sasa anasonga mbele.

Amefanya nin unachokumbuka?
 
Huu ndio unafiki wa siasa za Tanzania

lipumba alionekana msikitini akiwaambia waumini jinsi walivyoshiriki kuokoa jahazi JK asishindwe 2010 Leo anaongea utumbo huo???

Siasa za upinzani ni uchumia tumbo tu wananchi tusitekwe na ulaghai wao

Lipumba akili yake sio mgando mkuu kama ya kwako! Yupo dynamic sio dormant kama wewe.
 
Hapana,kwa hii list alitakiwa kuwa waziri wa Mapenzi.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu

huyu namba 16
jina lake limenikumbusha mbali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom