Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Sijui umeandika nini ,soma kwa suati ulicho andika huku unavuka barabaraZamani nilikua sielewi zile stori za abuniwasi zilimaanisha nini. ila sasa nimeelewa, kumbe maa abunuwasi wapo wengina wanaishi. Abunuasi anaamua kudnganya watu kwa mfalme kuna wali unaliwa huko,alipoona watu wanaenda na hawarudi,akajisemea mwenyewe kimoyo moyo mmh isije ikawa kuna mlo kweli huko kwa mfalme.mwisho akadanganya watu na hatimae kujidanganya na yeye. Sasa wewe ukweli unaujua ila ni kama Abunuwasi umeamua ujidanganye mwenyewe lakini uwezo wa prof ni obvious
Sent using Jamii Forums mobile app