Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,287
Kama anayetumika hiviAmeongea kama mchumi au kama mwanasiasa uchwara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anayetumika hiviAmeongea kama mchumi au kama mwanasiasa uchwara?
CAG KATUIBULIA MAFISADI WAPYAWANAOTANGAZA KUPAMBANA NA UFISADI KUMBE WAO NDO MAFISADIKuzungumza tu bila kushauri nini kifanyike ni sawa na chadema wanapopiga kelele kuhusu ufisadi halafu mafisadi wanayapokea na kuyakumbatia!