S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,616
- 32,723
Mh Lipumbu ana hoja ya msingi sana
NDUGU,Nyie wachagga kila mtu asiye mchagga mnamtukana huku wa kwenu mnamuona malaika hii ni tabia ya ajabu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mh Mbowe ni mhanga wa utawala usio fuata sheria. Kuna watu wanafaidika na mfumo huo, ndio watoa hoja ya katiba si lipa umbele cha wananchi. Katiba ni mkataba wa mtawala na mtawaliwa, lakini leo serikali imekuwa msemaji wa mwananchi kuhusu mahitaji ya katiba. Rasilimali za nchi zinatapanywa. Magufuli anatumbukiza hela kuhamia Dodoma, anakuja Samia anasema haiwezekani ikulu kuwa huko, mambo yote ni Dar.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku hupewa taarifa za usalama za nchi nzima, iweje tarehe 8 Julai 2021 Freeman Mbowe apelekewe salamu za pole za rambirambi za msiba wa kaka yake. Ina maana rais alikuwa hana taarifa za ugaidi wa Freeman Mbowe mpaka tarehe 21 Julai 2021 siku ya kongamano la CHADEMA juu ya katiba ya nchi, anahoji Prof. Haruna Lipumba.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anakwenda mbali na kuhoji kuwa haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama kutomfahamisha Rais juu ya mipango ya kuwakamata watuhumiwa wa mipango ya ugaidi wa kulipua sehemu mbalimbali, njama za kuua viongozi na kufanya uhaini za mtuhumiwa Freeman Mbowe kiasi rais atatuma pole kwa mtu Mwenye kutuhumiwa nzito ambaye yupo mbioni kutiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka mazito ya ugaidi na uhaini.
Lipumba ni shida, lakini kwa alicho eleza leo yupo sahihi.Nani yuko na Lipumba hapa
Umeandika bila kutafakari matokeo yake umejiaibishaNyie wachagga kila mtu asiye mchagga mnamtukana huku wa kwenu mnamuona malaika hii ni tabia ya ajabu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku hupewa taarifa za usalama za nchi nzima, iweje tarehe 8 Julai 2021 Freeman Mbowe apelekewe salamu za pole za rambirambi za msiba wa kaka yake. Ina maana rais alikuwa hana taarifa za ugaidi wa Freeman Mbowe mpaka tarehe 21 Julai 2021 siku ya kongamano la CHADEMA juu ya katiba ya nchi, anahoji Prof. Haruna Lipumba.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anakwenda mbali na kuhoji kuwa haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama kutomfahamisha Rais juu ya mipango ya kuwakamata watuhumiwa wa mipango ya ugaidi wa kulipua sehemu mbalimbali, njama za kuua viongozi na kufanya uhaini za mtuhumiwa Freeman Mbowe kiasi rais atatuma pole kwa mtu Mwenye kutuhumiwa nzito ambaye yupo mbioni kutiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka mazito ya ugaidi na uhaini.
jibu hoja acha kelele kama picha la XMsaliti huyo
Usaliti wa Lipumba ni upi?Lipumba huyu huyu msaliti pia yeye ....swali zuri fikirishi na tunayajua yote humo ndani mama hawamuheshimu kivile .....wanaona rahisi mpitaji tu lolote lawezekana
Hapa kuna mawili.
1. Inawezekana kweli ananyimwa taarifa kama alivyonyimwa zile za kifo cha mwendazake then akapangiwa ziara ya Morogoro.
au
2. Rais nae anaujua ukweli, hii habari ya ugaidi wa Mbowe ni ya kutunga kwa lengo la kuyalinda maslahi ya CCM, ubaya wa hili ni kwamba siku wakishindwa kesi mahakamani Rais ataubeba mzigo wa aibu za kumuonea Mbowe,
Hili litazidi kuharibu mahusiano yake na Chadema na kuvuruga ile mipango ya Rais kuonana na wapinzani, hii inaweza kusababisha kuendelea hali ya kutoaminiana baina yao na mwishowe kuendeleza siasa za kuwindana kama tuzionazo sasa.
Namba 2 hapo inawezekana pia alipewa taarifa ila alijiona na kuwaza kuwa yeye ni mwenyekiti wa CCM badala ya kulichukua kama Amiri Jeshi na Rais wa JMT.Akiruhusu uzito wa cheo cha Mwenyekiti wa chama cha magaidi ukawa zaidi ya Urais wa JMT,Rais SSH atapata wakati mgumu sana.Hapa kuna mawili.
1. Inawezekana kweli ananyimwa taarifa kama alivyonyimwa zile za kifo cha mwendazake then akapangiwa ziara ya Morogoro.
au
2. Rais nae anaujua ukweli, hii habari ya ugaidi wa Mbowe ni ya kutunga kwa lengo la kuyalinda maslahi ya CCM, ubaya wa hili ni kwamba siku wakishindwa kesi mahakamani Rais ataubeba mzigo wa aibu za kumuonea Mbowe,
Hili litazidi kuharibu mahusiano yake na Chadema na kuvuruga ile mipango ya Rais kuonana na wapinzani, hii inaweza kusababisha kuendelea hali ya kutoaminiana baina yao na mwishowe kuendeleza siasa za kuwindana kama tuzionazo sasa.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku hupewa taarifa za usalama za nchi nzima, iweje tarehe 8 Julai 2021 Freeman Mbowe apelekewe salamu za pole za rambirambi za msiba wa kaka yake. Ina maana rais alikuwa hana taarifa za ugaidi wa Freeman Mbowe mpaka tarehe 21 Julai 2021 siku ya kongamano la CHADEMA juu ya katiba ya nchi, anahoji Prof. Haruna Lipumba.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anakwenda mbali na kuhoji kuwa haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama kutomfahamisha Rais juu ya mipango ya kuwakamata watuhumiwa wa mipango ya ugaidi wa kulipua sehemu mbalimbali, njama za kuua viongozi na kufanya uhaini za mtuhumiwa Freeman Mbowe kiasi rais atatuma pole kwa mtu Mwenye kutuhumiwa nzito ambaye yupo mbioni kutiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka mazito ya ugaidi na uhaini.
7 August 2021
PROF: LIPUMBA AMZUNGUMZIA MBOWE KUHUSU SUALA LA UGAIDI.

Source : StarTV Habari
Most likely ni Sirro,ulitegemea atengeneze movie yenye maana?Issue ya Mbowe ata kama hauna akili utajua tu ni kesi ya kubumba.
Alietunga hii kesi ya Mbowe ningekuwa Rais ningemfukuza kazi, amemdharirisha Rais kwa kutengeneza movie hafifu ambayo ata vipofu sasa wanaona.
Umesahau mara hii......alijiuzulu akawakimbia wenzake akanunuliwa akarudishwa kwa nguvu za dola akaue CuF......ruzuku akalamba zote......malizia sasa leo anasema nini ? Nani ana trust ? Labda kina buku 7 nyieUsaliti wa Lipumba ni upi?
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku hupewa taarifa za usalama za nchi nzima, iweje tarehe 8 Julai 2021 Freeman Mbowe apelekewe salamu za pole za rambirambi za msiba wa kaka yake. Ina maana rais alikuwa hana taarifa za ugaidi wa Freeman Mbowe mpaka tarehe 21 Julai 2021 siku ya kongamano la CHADEMA juu ya katiba ya nchi, anahoji Prof. Haruna Lipumba.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anakwenda mbali na kuhoji kuwa haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama kutomfahamisha Rais juu ya mipango ya kuwakamata watuhumiwa wa mipango ya ugaidi wa kulipua sehemu mbalimbali, njama za kuua viongozi na kufanya uhaini za mtuhumiwa Freeman Mbowe kiasi rais atatuma pole kwa mtu Mwenye kutuhumiwa nzito ambaye yupo mbioni kutiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka mazito ya ugaidi na uhaini.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020.
Maana rais kila siku hupewa taarifa za usalama za nchi nzima, iweje tarehe 8 Julai 2021 Freeman Mbowe apelekewe salamu za pole za rambirambi za msiba wa kaka yake. Ina maana rais alikuwa hana taarifa za ugaidi wa Freeman Mbowe mpaka tarehe 21 Julai 2021 siku ya kongamano la CHADEMA juu ya katiba ya nchi, anahoji Prof. Haruna Lipumba.
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anakwenda mbali na kuhoji kuwa haiwezekani vyombo vya ulinzi na usalama kutomfahamisha Rais juu ya mipango ya kuwakamata watuhumiwa wa mipango ya ugaidi wa kulipua sehemu mbalimbali, njama za kuua viongozi na kufanya uhaini za mtuhumiwa Freeman Mbowe kiasi rais atatuma pole kwa mtu Mwenye kutuhumiwa nzito ambaye yupo mbioni kutiwa mbaroni na kufunguliwa mashtaka mazito ya ugaidi na uhaini.
Rais Samia anakoleza moto kuligawa Taifa...Mama utajengaje uchumi wa nchi wakati wana familia hawapo pamoja? Unazidi kuwagawa ...lazima utakwama tu.
Hata familia husonga mbele kimaendeleo kama baba, mama na watoto pamoja na dada wa kazi wote ni wamoja.