Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Kwa hiyo ajenda yenu ni ipi?
CCM wanakemea ufisadi.....mmeporwa hoja yenu.

ACT- utu, miiko na uzalendo

CUF- haki sawa kwa wote....hapa haki tu.
MABADILIKO YA KWELI UHURU WA KWELI.ACT unaitaja hapa! Chama ambacho mgombea urais hajafikisha kura 100,000! Hao waweke kwenye Kindi la TLP,NRA,UDP,ADC na CHAUMMA.
 
Mwambieni akiwa muongo asiwe msahaulifu. Clip za mapokezi ya Lowasa Ukawa zinaonyesha ushiriki wake ila lililomuuma ni kule kuenguliwa katika kazi yake ya kudumu ya " Mgombea Urais"
Waliompokea Lowassa kama mwanachama ni CHADEMA.

Waliomuweka Lowassa kuwa mgombea Urais wa Tanzania ni CHADEMA.

Kazi ya CUF katika ushirika wa UKAWA ilikuwa ni kupata mgombea mmoja wa Urais.

Prof. Lipumba alikataa kuwa mmoja wa viongozi wa CUF waliokubali Lowassa awe mgombea Urais wa ushirika wa UKAWA.
 
Ama kweli rushwa hupofusha. Kwa hiyo tukubaliane kuwa PR. Lipumba kwa kuwa anasema CDM kimepoteza mwelekeo ni msaliti. Kamanda Mbowe kwa kumkaribisha Lowasa asubuhi na jioni yake kamteua kuwa mgombea wa CDM ni shujaa. Maneno yote ya Lema,Mbowe, Mnyika na Msigwa kabla na baada ya ujio wa Lowasa hayapaswi kuhojiwa na yeyote. Siongelei msimamo na maneno ya Slaa maana ni msaliti kama Lipumba. Mkiwa sahihi na wa kweli nielimisheni. Je uongo na ukweli vina undugu. Lipumba alikiri kosa lake na kutangaza nafsi yake kumsuta. Muulizeni Msigwa nafsi yake inamsuta au hapana. Lowasa,Sumaye, Kingunge,Msindai,Mwapachu ndiyo timu ya CDM mpya? Kweli kama Lipumba msaliti kundi hilo tupo wengi. Siioni CDM.
 
Angenyamaza japo alinde kale kaheshima kidogo alichobaki nacho,cuf bila yeye wamepata wabunge na madiwani wengi sasa sijui tumuelewe vp!poor politics hizi
 
Prof ana gundu yani alipojivua uenyekiti CUF ikapata wabunge kibao bara na maalim akashinda kwa kishindo Zenj hadi fisiem wakashindwa kumwibia kura.
 
Kwa hiyo upinzani umepoteza dira ..... na CCM ndio chama bora? Upinzani upi alokuwa anaupigania yeye?
 
Renegade soldier ,No one wants you, we were better off without you at the critical period .we will never you forget
 
Kati ya watu walionivutia kihekima kwenye haya maswala,wewe mmoja wao.
Keep the wisdom you have for tomorrow.
Nadhani akinyamaza sisi wengine ambao tumeendelea kumuheshimu tutaendelea kufanya hivyo .Yeye na CUF ipi? Mtu muungwana huheshimu maamuzi ya kikatiba kupitia vyombo vya juu vya vyama vyetu vinapofanya maamuzi .
 
Kwa hiyo ajenda yenu ni ipi?
CCM wanakemea ufisadi.....mmeporwa hoja yenu.
.
Umeandika vyema kabisa kuwa CHADEMA wameporwa hoja, na hilo linakubalika tu. Ingekuwa vibaya kama CHADEMA wangekuwa wameiacha hoja yao. Huwezi kuilaumu ACT iwapo UDP wataamua kubeba ajenda ya uzalendo
 
Lipumba alishajenga utamaduni wa kutukana mafisadi. Na fisadi mmojawapo anaependa sana kum-diss ni ......
 
Wakati mwingine hawa wazee wapime kama bado vichwa vyao vinafanya kazi sawa sawa. Mchakato wakumpokea lowasa waliufanya na yeye akiwepo na alimsifia sana sasa kipi tena kinamfanya ageuke na kuwa ndumilakuwili. Ni aibu sana kutumia mdomo wako kuongea huku ukitumia akili ya mtu mwingine

.....kama ulikuwa akilini mwangu
 
.......dhambi ya usaliti ni mbaya sana, amesahau jinsi alivyompokea kwa mbwewe?
 
Yuda huyu si wa kuchekea hata kidogo, anajipendekeza kwa viongozi wa CUF apewe ulaji! Tangu awe Mgombea CUF haijawahi kua na viti vingi kama mwaka huu. Huyu kupata uongozi labda Maalim Seif aondoke CUF, Katika watu waliomuudhi sana maalim Seif ni huyu msaliti.yaan wenzi wako katika kipindi kigumu wewe unawakimbia!
Hayo ni mawazo na mtazamo wake. Ninyi kila mtu akipinga mitazamo yenu mnamwita msaliti. Usaliti wake upi?
 
Yan kisiasa nimemchukia sana lipu...ila kiubinadam nampend bt huyu ni msalit wa ajab sana kaacha cuf wakiwa mazngra magum mno leo anajifanya mwana cuf inabd afutiwe uanachama kabisa
 
Back
Top Bottom