Prof. Lipumba azimiwa umeme geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba azimiwa umeme geita

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtemiwao, Oct 9, 2010.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumesikia jinsi dr slaa alivyozimiwa umeme kule mbeya na rukwa,sasa leo ni zamu ya lipumba hapo geita,alipoingia tu asubui kufikia saa 5 umeme ukakatwa na wakazi wa geita leo watalala giza maana nackia lipumba atalala hapo.halafu hata dr slaa alipoingia geita jioni tar 12/09 umeme ulikatwa hadi alipoƶdoka.hv tanesco wanapata faida gani kwa hv vituko?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hata wazime tochi mwaka wao huu
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  sure...
   
Loading...