Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,082
Sura ni zile zile za CCM, kinachobadilika hapo ni mavazi ya chama tu., Utakuta mkutano mwingine ukiitishwa na CCM, watakuja na mavazi tofauti yale ya kijani.... DANGANYA TOTO EEEE.
Mbona baragashia tupu?
Hlafu hiyo picha ya tatu hapo juu inafanana na ile ya pale wizara ya mambo ya ndani wiki iliyopita.