Prof. Lipumba asema hakutarajia dkt Slaa kuteuliwa kuwa balozi

Lipumba miaka michache iliyopita alisema akiwa msikitini kuwa Chadema kupitia Padri Slaa waliungana na makanisa ya Ulaya ili kuitawala Tanzania. Leo anampongeza Slaa eti hana shaka nae....Unafiq kwa kiwango cha hatari
mzito kabwela heshma yako mkuu.
 
Bado list ya uteuzi ni ndefu... Wengine wamekuwa spared kuelekea kampeni za uchaguzi 2019 na 2020. Hawa ni pamoja na profeseli bwana yule, double Z, mama mkuu wa Kilimanjaro, EL, na yule wa juzi aliyekuwa mtalii, wakusanya mapato na mufilisi wapo kazini siku wakikaza nati, vyuma vitalegea vyenyewe ..... Kila anaye kubali mnyororo hulegezwa.... Hpana chezea...
 
tuachane na maswala ya vyeo sasa;

Tusijenge nchi yetu;

Ni changa sana;

Inatuhitaji zaidi na zaidi
 
Lipumba angeteuliwa kuwa mshauri wa rais ktk masuala ya uchumi

Ova
 
Back
Top Bottom