Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Igunga: Uvunjifu na ukiukwaji wa haki za binadamu ni tatizo kubwa hapa Tanzania

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
223
250
UVUNJIFU NA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NI TATIZO KUBWA HAPA TANZANIA "PROF.LIPUMBA" IGUNGA TABORA​

Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania.

Hakuna chombo huru chenye nguvu cha kusimamia haki za binadamu. Tume ya haki za binadamu haina nguvu za kuweza kupambana na wavunjaji wa haki za binadamu. Wengi wa hawa ni watendaji wakuu wa serikali ambao wanalindwa na mfumo uliopo.

Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitasimamia ipasavyo haki za Binadamu.
1600340419720.png
1600340450680.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom