Wana jf nimesikia leo katika vyombo mbali mbali vya habari kuwa,Mkuu wa Kaya yetu anatarajiwa kusuka baraza lake la kuongoza kaya yetu upya.
Safari hii ni kwa staili mpya kabisa, inasemekana ule upepo wa Zenji utafika na bara "ndoa ya cuf &ccm"
Mvumilivu hula mbivu, Mh. Lipumba aweza kuingia tena Mjengoni safari hii akiwa na TITLE kubwa, Waziri sio 'kivuli' wa ukweli kabisa.
Swali ni kama itakuwa kweli atakwenda kuwa Prof. wa mawaziri wote "mkuu wa mawaziri" au kuwa mchumi?.
Na je ni inaonyesha kuwa ni kweli wasafi ni adimu ndani ya ccm?.
Tuache hizi siasa za kukuza udini. Ni hatari kila kitu kikitasfiriwa kwa updande wa dini au ukabila.Hao wanaomusalimia ni Waislamu wenzake hapo kuna udini
Utapita kaka.....
|
| |
|
jaribu kupitia mada za wenzio kabla hujapost
hii ipo tangu jana na leo.saa umerudia the same thing