CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.