Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

Sijui kwanini ukisoma sana akili yako inaruka ....!!

Huyu jamaaa ashaanza kupata psychosis kabisa na muda si mrefu atajikana mwenyewe...

Yangu macho...ukisoma sana wisemen yako inapoteza mvuto kwa watu...

Maisha ya leo sio ya kupiga book sana eti uonekane mwenye busara bali unazidi kuwa mbali na jamii yenye uelewa wa kawaida...

Msomi ambaye unatumia principle za kizamani kupoteza sifa ya elimu yako..

Lipumba staafu urudi nyumbani ukae na wajukuu zako ...maprofeseliiiii wengi wanakufa vibaya kwa mental problem ..jitasthimi ulipofikia....you are not normal as people had been experiencing ....

Sent using Nokia 8 Plus
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Lipumba amepewa ganda tupu la yai akidhani ndani lina kifaranga.
 
Hata kwa marungu siwezi tazama hiyo tivii ya sisiyemu
Sent using Jamii Forums mobile app
TBC sio TV ya CCM ni TV ya Taifa, ila kwa vile CCM ndio chama tawala, na Tanzania inaongozwa kwa ilani ya CCM, automatically CCM lazima itakuwa na upper hand, ila kwenye matumizi ya CCM kuitumia TBC, CCM inalipa tuu kama mteja mwingine yoyote, Chadema ikiwa na shughuli za Chama, ikalipe tuu nayo itakuwa covered.
P
 
Namsikiliza TBC Lipumba anasema mali ambazo watu wameanza kuchukua ni za CUF sio za watu binafsi waliojitolea ni za CUF hivyo kawaonya wasijiingize kwenye matatizo bila sababu.Pili kasema Seif Sharif Hamad mwongo mwongo na mpenda kuhamisha agenda akiona kushindwa agenda Moja.Anasema baada ya uchaguzii Zanzibar 2015 Seif alisema yeye ndie mshindi na ataapishwa ndani ya miezi mitatu . Agenda ikashindwa sasa kuhamia kwake kumfanya ndie agenda . Kuhusu Seif kuifanya dhaiifu CUF sababu atahama na wanachama sababu yeye Seif ndie ana wafuasi wengi akatoa mfano wa Augustino Lyatonga Mrema kuwa alipokuwa NCCR mageuzi alikuwa na mamilioni ya wanachama wafuasi wake alipohamia TLP wakayeyukia hewani hanao tena. Akasema CUF iko imara.
Moja ya ofisi za CUF kanda ya ziwa wamepanga kwenye jengo langu, kama anataka kuendelea aje anilipe kodi yangu matatizo hakuna, lkn aache kusema jengo langu ni mali ya CUF.
 
We tizama halafu tuambie kilichojiri
Mkuu Ochumeraa, ok nakutazamia, ila kama wewe uko Tanzania na hapo kwako unayo TV, kitendo cha kutoangalia TBC sio tuu ni ukosefu wa uzalendo wa kweli, bali pia unapoteza fedha zako bure, kwa sababu ni wewe ndio unayeigharimia TBC kupitia kodi yako.
P.
 
Ulitaka kutuambia una king'amuzi cha Startimes kinaonesha mpaka CLOUDS

haya tunashukuru
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba amemshutumu Maalim Seif kwa kusema analeta usultani, anachotaka yeye tuu ndicho, hivyo kitendo cha kuhamia ATC chama chenye sera tofauti kabisa na malengo ya CUF, huko sasa kutakuwa ni kumfuata mtu kama usultani na sio kufuata sera au itikadi.
Apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom