Anataka kuwafundisha juu ya water treatment maana maji sehemu nyingi si salama.Exactly Mkuu! Waraka ule ni mzito haustahili kabisa kujibiwa na mtu mdogo kama huyo bali ujibiwe na mhusika Mkuu ambaye yeye ndiye chanzo cha udhalimu wa kutisha, chuki, visasi ikiwemo utekaji, utesaji na uuaji wa Watanzania wasio na hatia yoyote ile.
Tunza haya maneno yako!!Na kuonesha kuwa kaupuuza,wanajibu Vijana kama akina mwakibinga.Saiz Mkumbo ataujibu.Waraka hauna hadhi ya kujibiwa na Rais.Na nafikiri wameona mbali sana,kujibu wa kkkt,ilitakiwa wajibu na TEC na ukitoka mwingine hivyohivyo.So serikal iendelee kuupuza hata chama naona kimeupuuza.Wajibu Vijana na watu wengine.
Habari wanaJF,
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..
Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------
Kutoka JF:
Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..
Kutoka tovuti ya Mwananchi;
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.
Waraka wa maaskofu 27 wa KKKT ulitoka hivi karibuni na ulitarajiwa kusomwa katika makanisa yote ya kilutheri Machi 25, 2018.
Katika waraka huo maaskofu walizungumzia Katiba mpya, uchumi, siasa na jamii.
“Katika kutoa maoni yangu kuhusu Waraka huo, ninalenga mambo makubwa mawili ambayo ni pongezi kwenu, na pili ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya masuala yaliyomo katika Waraka huo,” amesema Kitila katika barua yake aliyoisaini Machi 29 mwaka huu.
Pamoja na kuwapongeza maaskofu hao, Kitila ameandika katika barua yake kuwa maudhui yaliyowekwa katika waraka wa maaskofu hao, hayaakisi hadhi na wajibu wa msingi wa kanisa.
“Kama ambavyo mmekuwa mkitufundisha siku zote, na vile tusomavyo katika Biblia Takatifu, ninafahamu kuwa kazi za msingi za kanisa ni zile ambazo Bwana wetu Yesu Kristo alizifanya alipokuwa duniani,”amesema.
Kitila ambaye ameandika barua hiyo kama muumini wa KKKT, amesema anakubaliana na mengi maaskofu waliyogusia katika Waraka huo akiamini yamefundisha na kuponya roho za waumini kwa kiasi kikubwa.
Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.
“Kwa kufanya hivyo, mtaepusha migawanyiko isiyo ya lazima kwa waumini ndani ya kanisa na wananchi kwa ujumla.” Amesema.
Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.
“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Hiyo ndo Demokrasia?Katibu wa maji hana hadhi ya kujibu watumishi wa Mungu! Akae kimyaa

Ni kauli ya kanisa kwasababu kanisa limefanya sana kazi ya kuwaombea wanasiasa bila kukosolewa na wakosowaji.Kama wajibu wao ni wa kiraia waraka ungesema hivyo; ila kwa matumizi ya titles zao inamaana kwamba wanatoa waraka huo Katika capacities zao; hivyo moja moja kuchukuliwa kama kauli ya kanisa
Unatoa vitisho ili usionekane ka unatoa vitisho ila ni ushauri. Kazi kweli kweliHabari wanaJF,
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..
Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------
Kutoka JF:
Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..
Kutoka tovuti ya Mwananchi;
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.
Waraka wa maaskofu 27 wa KKKT ulitoka hivi karibuni na ulitarajiwa kusomwa katika makanisa yote ya kilutheri Machi 25, 2018.
Katika waraka huo maaskofu walizungumzia Katiba mpya, uchumi, siasa na jamii.
“Katika kutoa maoni yangu kuhusu Waraka huo, ninalenga mambo makubwa mawili ambayo ni pongezi kwenu, na pili ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya masuala yaliyomo katika Waraka huo,” amesema Kitila katika barua yake aliyoisaini Machi 29 mwaka huu.
Pamoja na kuwapongeza maaskofu hao, Kitila ameandika katika barua yake kuwa maudhui yaliyowekwa katika waraka wa maaskofu hao, hayaakisi hadhi na wajibu wa msingi wa kanisa.
“Kama ambavyo mmekuwa mkitufundisha siku zote, na vile tusomavyo katika Biblia Takatifu, ninafahamu kuwa kazi za msingi za kanisa ni zile ambazo Bwana wetu Yesu Kristo alizifanya alipokuwa duniani,”amesema.
Kitila ambaye ameandika barua hiyo kama muumini wa KKKT, amesema anakubaliana na mengi maaskofu waliyogusia katika Waraka huo akiamini yamefundisha na kuponya roho za waumini kwa kiasi kikubwa.
Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.
“Kwa kufanya hivyo, mtaepusha migawanyiko isiyo ya lazima kwa waumini ndani ya kanisa na wananchi kwa ujumla.” Amesema.
Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.
“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Aisee kakosa msimamo yeye, mimi siwezi kushiriki madhaifuyake kisa naye ni mnyiramba mwenzangu.Sio mchaga mkuu,huyu ni kabila moja na Mwigulu. Mimi wala sishangai coz huwa ni watu wasio na msimamo
NdioHiyo ndo Demokrasia?
Huko kwao Mgela mpaka leo hawaamini kama ndugu yao kasanda. Gyule mmoja akanambia kipindi kile anachambua mambo kwenye TV wanakijiji wanakaa kumsikiliza sha mkumbo. Leo hii hovyo kabisa.Aisee kakosa msimamo yeye, mimi siwezi kushiriki madhaifuyake kisa naye ni mnyiramba mwenzangu.
Hata mimi mnyiramba mwenzake nimefedheheka na huu waraka wake, nasema ni udhaifu wake sio kabila letu tukufu.