johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,768
- 141,632
Nimefuatilia ziara ya waziri wa maji Prof Mbarawa anakutana na ufisadi kila anakozuru, naibu wake mh Awesu yuko Njombe ni ufisadi kila apitako.
Waziri mkuu Yuki Bukoba malalamiko anayopokea mengi ni ya ufisadi miradi ya maji.
Najiuliza Prof wangu Kitila tatizo ni mini? Na kwanini mpaka mawaziri wasafiri ndio wanagundua kwani watendaji mnafanya kazi gani. Niishie hapo.
Kidumu Chama cha mapinduzi!