Prof. Kitila Mkumbo: Mawaziri wenzangu wa Biashara Afrika nzima waje Morogoro wajifunze namna bora ya kuwapanga Wamachinga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.

Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.

Chanzo: ITV habari
 
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.

Prof Kitila Mkumbo amewaalika mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.

Source: ITV habari
Utaalikaje mawaziri wa nchi zingine wakati maeneo mengine ya nchi hiyo hiyo bado yako shagalabagala?

Je, yeye nui mkuu wa nchi anaitisha wito kutoka mataifa mengine wakati kwake bado kwa fukuta?

Any, wana Morogoro ni wastaarabu tangu enzi na enzi na siku huanzisha mambo wengine huiga hata stendi ya kisasa walianza wao kisha ikabuniwa ya Mbezi Louis, kwa hiyo nilitegemea wangepewa motisha zaidi wenye manufaa kuliko kujitatia 'credit' zinazostahili wamanchinga wenyewe!!!
 
Amalize kwanza ya dar ndio aende huko

USSR
 
😃😃😃😃
Ulishawahi kuishi Morogoro?
 
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.

Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.

Chanzo: ITV habari
Ndo maana msukuma anawadharau sana wasomi wa nchii hii.
 
Morogoro ipi?

Siasa bana! Yaani hata uwe profesa hutofautiani na std7.
 
Back
Top Bottom