Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
eba5c711b45cda450c0e51eab2bd4e04.jpg


Yeye aandika Twitter:

B3B3EEB6-C4B7-42C1-A8A9-0920FCB13A72.jpeg
 
Kama karejea, kuanza kutangaza habari hizo kabla yake ni dalili ya kuhemea kumfanya mtaji wa kisiasa.
 
Sidhani kama Zito alitambua kuwa amezungukwa na viongozi wa namna hii.

Mwenyekiti wa Chama na mgombea urais wa Chama, katibu wa Chama, na mshauri mkuu wa Chama.

Wawili Wamehama, mwingine yuko na nafasi ya kiserikali.
Hawa ndio ilikuwa nguzo kuu ACT na waasisi wake.

Sasa ni kama wamemtelekeza nadhani angejua hili bora hata angebaki CHADEMA.

Je hao waliobaki wamemuzunguka wako salama?
 
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,

Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.

Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.

Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.

Shame On them
 
Acheni wivu wa kijinga.Uvivu tu..na ninyi ingieni darasani mpate hizo PhD kama ni rahisi. Kwani walio CDM ndiyo njaa haiwaumi?mnainanga CCM sababu ya njaa zenu na si vinginevyo. Hamna guts za kuendeleza nchi.Eti CCM haijafanya kitu kwa miaka 50 ya uhuru..!Ingekuwa haijafanya kitu leo ww ungekuwa ktk keyboard unapost uchafu dhidi ya Chama ambacho kimekutoa matongotongo?
 
Back
Top Bottom