Mkuu tuko kwenye usajili wa kuzubaisha na kubabaisha umma,yale maneno ya kuwashwawashwa ya Nyalandu baada ya kustaafu CCM na ubunge wake yalikuwa makali sana na tiba ya kuzindua umma,tunakoleza PR huku tukimfanyizia Lazaro ili wengine waufyate! !Sheria za utumishi wa umma kwa nafasi yake zinasemaje?
Limefanyaje tumbo?'tumbo' hili jamani...!
Tumbo linamaliza watu achana na njaa, Hivi inakuwaje mtu mwenye familia anaamua wenzake wafikirie kwa niaba yake, Kweli siasa sio Si hasaLimefanyaje tumbo?