Prof. Kitila Mkumbo anapwaya Wizara ya Maji?

Watz bhana wakipata vipesa kidogo tena vya mishahara wala sio wawekezaji wanasahau kabisaa kufikiri, wanadhani keki ya taifa ni yao milele kumbe hakika tutagawanya na cheo ni zamu zamu maana hakuna ambaye nchi hiii ni mali ya baba yake achilia mbali mali yake
 
Katibu Mkuu anasema maji mjini yawe 2500TZS kwa Cubic Meter badala ya around 1000TZ ilivyo sasa ili iwe sawa na Kijini ambako ndoo moja ni 50TZS sawa na karibu hiyo 2,500TZS kwa cubic Meter moja.

Hapo naona Mkumbo amepway sana katika kufikiri.

UCHUMI
Mosi bei ya bidhaa hutegemea demand and supply

Pili bei hutegemea gharama za uzalishaji na namna bidhaa inavyopatikana

Tatu bei hutegemea gharama za usambazaji

Nne bei hutegemea break even point and profit margin kwa ajili ya uendelevu wa mradi
Tano bei hutegemea idadi ya walaji pia

SIASA NA AFYA
Iwapo lengo ni kuleta maendeleo nadhani Mkumbo angneongelea kushusha bei kijijijni ili wanakijijij wamudu gharama za maji safi na salama

Kuwachagiza EWURA wapandishe bei mjini ni kumharibia kazi JPM kwa kila hali, na mbinu chafu za 2020

Maji safi na salama huzuia magonjwa, watanzania wanahitaji kumudu gharama za maji safi na salama kupunguza magonjwa na wala sio madawa mengi kukabiliana na magonjwa. Kinga bora kuliko tiba

KATIBU MKUU, wacha kuomba bei ya maji ipande maana unaharibu afya siasa na uchumi pia. Kumbuka iwapi gharama za maji zitakuwa kubwa na wengi kushindwa kuzimudu magonjwa yataongezeka kwa watz, hivyo uchumi kuyumba maana nguvu watu itapungua au kuathirika.

Iwapo waziri wako anaongelea wateja kuiba maji kwa ama gharama kubwa za kuunganishiwa na huduma hiyo kutopatikana, huoni wewe ni kituko kuongelea gharama zipande?

Kwa heshima sahihisha Taarfia yako ya Star TV 20 Machi 2019 Usiku saa 2.

Nawasilisha
Mwambieni maji safi na salama ya kunywa ni haki ya binadamu kama ilivyo haki ya kuishi.
Lakini msishangae, mbona wastaafu wananyimwa pension zao ili wafe?
 
Ni wa kumwonea huruma huyo. HAFAI, bado yuko busy na siasa. Aache tu u PS

Back
Top Bottom