johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,445
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.
Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.
Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.
Maendeleo hayana vyama!