Prof. Kitila Mkumbo aelezea uhusiano uliopo kati ya Demokrasia na Maendeleo

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
327
204
Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi katika Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa UDASA, leo Akiwa katika kipindi cha power breckfast on saturday kinachorushwa kila siku ya jumamosi asubuhi na clouds fm, Kitila Mkumbo ameelezea uhusiano uliopo kati ya demokrasia na maendeleo. Pakua audio hii hapa chini kumsikiliza
 
Attachments

  • KITILA MKUMBO.m4a
    3.1 MB · Views: 77
Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi katika Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa UDASA, leo Akiwa katika kipindi cha power breckfast on saturday kinachorushwa kila siku ya jumamosi asubuhi na clouds fm, kitila mkumbo ameelezea uhusiano uliopo kati ya demokrasia na maendeleo. Pakua audio hii hapa chini kumsikiliza

China haina vyama vingi ina chama kimoja tu tawala haina hiyo DOMOKRASIA na imeendelea
 
#YEHODAYA

Unazungumzia kutokuwa demokrasia au aina ya demokrasia?

Huko ndo mnakotaka kutupeleka? Mnazidi kuonesha rangi halisi. Communism! People of this country are so advanced in multiparty democracy. Hawatakubali hiyo mnayoitaka watawala na wapambe wao. Wala hiyo mnayoisema si ya China. You just want to practice dictatorship na Watanzania hawatafumba macho nchi yao ikiwa ruined. Watapiga kelele.
 
upo sahihi mkuu.
 
msikilize vizuri, usikurupuke. kaelezea maendeleo katika nchi za kidemocrasia

Demokrasia anayoongelea Profesa MKUMBO ni DOMOKRASIA (Uhuru wa kuongea chochote kwa sababu domo ni jumba la maneno).Hii ndio upinzani Tanzania inaitaka.
 
Maendeleo ni kitu cha kwanza kabisa, haina maana familia moja kijijini inakuwa na uhuru wa kusikika na kusikilizwa halafu inaishi kwenye banda la nyasi ambalo mtu mwenye hasira anaweza kutumia kiberiti kimoja tu katika kuliteketeza.

Huyu anayelala kwenye hilo banda anaweza kuwa huru sana lakini ni maskini kama wale wanaomsikiliza wanaishia kumsikiliza na kurudi kuishi maisha ya raha ya mijini.

Kuna taasisi nyingi sana zinafaidika na hii demokrasia ya kimagharibi, kusikika kwao watu hawa ndio kula kwao. Wanaweka msisitizo kwa sababu wanatetea mlo wao wa kila siku, wanatetea mirija yao ya neema.

Hao waingereza wametumia muda usiozidi wiki moja katika kushughulika na kura ya maoni iwapo wabakie au wajitoe EU, baada ya zoezi kumalizika wanaofanya kazi mashuleni wanarudi kufundisha, wale wa viwandani wanarudi viwandani, kila mtu anarudi kule kunakomhusu na kuendelea na maisha kama kawaida.
 
China haina vyama vingi ina chama kimoja tu tawala haina hiyo DOMOKRASIA na imeendelea
Hata kulala na mkeo unapangiwa, watoto wa kuzaa unapangiwa, nguo ya kuvaa na kwa watu wa chini unaambiwa upige kiraka nguo ikiwa mpya sehemu nguo huchanika haraka. Huo ni Uhuru au utumwa?
 
apeleke hiyo demokrasia nyumbani kwake aone kama maendeleo yatakuja
 
Chadema ni bora mngejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chenu???
Naamini bila mbowe kuuza chama msingekengeuka kiasi hiki.

Leo mnapinga kila kitu na kujidai mnadai democrasia wakati ndani ya chadema hamna hata tone la democrasia.

Hebu jiulize wakati Mbowe anabadili gia angani alishilikisha wanachama wa ngapi??
 
Maendeleo ni kitu cha kwanza kabisa, haina maana familia moja kijijini inakuwa na uhuru wa kusikika na kusikilizwa halafu inaishi kwenye banda la nyasi ambalo mtu mwenye hasira anaweza kutumia kiberiti kimoja tu katika kuliteketeza.

Huyu anayelala kwenye hilo banda anaweza kuwa huru sana lakini ni maskini kama wale wanaomsikiliza wanaishia kumsikiliza na kurudi kuishi maisha ya raha ya mijini.

Kuna taasisi nyingi sana zinafaidika na hii demokrasia ya kimagharibi, kusikika kwao watu hawa ndio kula kwao. Wanaweka msisitizo kwa sababu wanatetea mlo wao wa kila siku, wanatetea mirija yao ya neema.

Hao waingereza wametumia muda usiozidi wiki moja katika kushughulika na kura ya maoni iwapo wabakie au wajitoe EU, baada ya zoezi kumalizika wanaofanya kazi mashuleni wanarudi kufundisha, wale wa viwandani wanarudi viwandani, kila mtu anarudi kule kunakomhusu na kuendelea na maisha kama kawaida.
Tatizo letu tunakwenda kwenye EXTRMES. Kuacha wizi unaoitwa ufisadi haina maana kufunga watu midomo. Ethics inafundisha kwamba Vilema (vices) are the extremes of the Middle. Virtue is in the middle. Kushabikia u extreme ni kutenda uovu. Huo ni msingi wa maadili.
Maendeleo ni kitu cha kwanza kabisa, haina maana familia moja kijijini inakuwa na uhuru wa kusikika na kusikilizwa halafu inaishi kwenye banda la nyasi ambalo mtu mwenye hasira anaweza kutumia kiberiti kimoja tu katika kuliteketeza.

Huyu anayelala kwenye hilo banda anaweza kuwa huru sana lakini ni maskini kama wale wanaomsikiliza wanaishia kumsikiliza na kurudi kuishi maisha ya raha ya mijini.

Kuna taasisi nyingi sana zinafaidika na hii demokrasia ya kimagharibi, kusikika kwao watu hawa ndio kula kwao. Wanaweka msisitizo kwa sababu wanatetea mlo wao wa kila siku, wanatetea mirija yao ya neema.

Hao waingereza wametumia muda usiozidi wiki moja katika kushughulika na kura ya maoni iwapo wabakie au wajitoe EU, baada ya zoezi kumalizika wanaofanya kazi mashuleni wanarudi kufundisha, wale wa viwandani wanarudi viwandani, kila mtu anarudi kule kunakomhusu na kuendelea na maisha kama kawaida.
 
#YEHODAYA

Unazungumzia kutokuwa demokrasia au aina ya demokrasia?

Huko ndo mnakotaka kutupeleka? Mnazidi kuonesha rangi halisi. Communism! People of this country are so advanced in multiparty democracy. Hawatakubali hiyo mnayoitaka watawala na wapambe wao. Wala hiyo mnayoisema si ya China. You just want to practice dictatorship na Watanzania hawatafumba macho nchi yao ikiwa ruined. Watapiga kelele.

Tatizo kubwa nilionalo hapa ni kuwa hata hao wanaonekana ni viongozi wa demokrasia hawajui demokrasia ni nini? Hawafahamu kuwa kuna aina nyingi za demokrasia na pia wanafikiri demokrasia inapatikana kupitia shughuli za vyama vya siasa pekee. Wao wenyewe hawana hata chembe ya kuonesha utekelezaji wa demokrasia inapokuja katika taasisi zao na ngazi zinazowahusu. Wanadhani serikali pekee ndio inayopaswa kubanwa kuhusu utoaji wa demokrasi wakati wenyewe katika taasisi zao kunafanyika madudu ya ajabu. Wanapoteza 'legitimacy' ya kudai demokrasia na wanapofanya hivyo inaonekana wanatafuta tu kick kwani demokrasia aidha hawaifahamu au walianza wao kuikanyaga kwa matakwa yao binafsi. Tukiwa wakweli tutaona, tutafahamu na tutahoji na ikiwezekana tutakubaliana tujipange tuanze upya. Wasalimie Kimanga Kamanda
 
Chadema ni bora mngejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chenu???
Naamini bila mbowe kuuza chama msingekengeuka kiasi hiki.

Leo mnapinga kila kitu na kujidai mnadai democrasia wakati ndani ya chadema hamna hata tone la democrasia.

Hebu jiulize wakati Mbowe anabadili gia angani alishilikisha wanachama wa ngapi??
Chama cha babamkwe kile utamwambia nini?
 
Maendeleo ni kitu cha kwanza kabisa, haina maana familia moja kijijini inakuwa na uhuru wa kusikika na kusikilizwa halafu inaishi kwenye banda la nyasi ambalo mtu mwenye hasira anaweza kutumia kiberiti kimoja tu katika kuliteketeza.

Huyu anayelala kwenye hilo banda anaweza kuwa huru sana lakini ni maskini kama wale wanaomsikiliza wanaishia kumsikiliza na kurudi kuishi maisha ya raha ya mijini.

Kuna taasisi nyingi sana zinafaidika na hii demokrasia ya kimagharibi, kusikika kwao watu hawa ndio kula kwao. Wanaweka msisitizo kwa sababu wanatetea mlo wao wa kila siku, wanatetea mirija yao ya neema.

Hao waingereza wametumia muda usiozidi wiki moja katika kushughulika na kura ya maoni iwapo wabakie au wajitoe EU, baada ya zoezi kumalizika wanaofanya kazi mashuleni wanarudi kufundisha, wale wa viwandani wanarudi viwandani, kila mtu anarudi kule kunakomhusu na kuendelea na maisha kama kawaida.

hapo unamaanisha yule mama wa chadomo kindakndaki ... kij simba
 
Tatizo letu tunakwenda kwenye EXTRMES. Kuacha wizi unaoitwa ufisadi haina maana kufunga watu midomo. Ethics inafundisha kwamba Vilema (vices) are the extremes of the Middle. Virtue is in the middle. Kushabikia u extreme ni kutenda uovu. Huo ni msingi wa maadili.
Hakuna anayemfunga mwenzake mdomo, ni kukumbushana kuhusu kufanya kazi ni kukumbushana kuhusu kuzalisha. Sio kuishia kwenye malumbano ya hoja bila ya kuweka msisitizo kwenye kazi na uzalishaji.
Tunadaiwa deni la maendeleo, tunayo kila sababu ya kuiga tabia za watu wanaotumia kodi zao katika kuzipatia fedha bajeti za nchi zetu za kiafrika. Wao hutumia muda mchache kwenye mambo ya kisiasa na muda mwingi kwenye ukuzaji wa tija ya kila sekta inayotambulika na serikali zao.
 
Demokrasia anayoongelea Profesa MKUMBO ni DOMOKRASIA (Uhuru wa kuongea chochote kwa sababu domo ni jumba la maneno).Hii ndio upinzani Tanzania inaitaka.
hvi na ww ni miongoni mwa wasomi kweli?!!!!!...masikini Tanzania!!!!!!
 
Back
Top Bottom