Prof. Karim Hirji - MUHAS - Aandika Article matata siku ya shereh miaka 50 ya uhuru - Soma tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Karim Hirji - MUHAS - Aandika Article matata siku ya shereh miaka 50 ya uhuru - Soma tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by analysti, Dec 17, 2011.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Prof. Karim Hirji ni mwanazuoni aliyebobea katika Biostatistics. Zaidi prof huyu, ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki tanzania, ambao kwao ukweli ndiyo njia kuu ya maisha. Article hii iliwasilishwa siku ya sherehe za kuazimisha miaka 50 ya uhuru. Someni JF members, it is a very intheresting article.

  Kudownload hii article fuata hii link View attachment At the time of Uhuru.pdf
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Du. Sijui amewezaje kuandika mpaka mwisho, nahisi kama alikuwa anatokwa na machozi.
  Kuhusu number of students VS teachers, hili ndio Bomu kweli kweli litatumaliza achana na
  hili la ajira.

  Graduates wa sasa, hata mimi of course (Japo nililiona hili na nikalihedge) wanahali mbaya
  sana kiufahamu, mtu anamaliza Masters Degree lakini habadiriki kichwani hata kidogo,
  ndio maana hivyo vizungu vilikuwa vinawachezesha michezo ya kitoto Maprofesa na bado
  waklikuwapo waliofurahia. Shame, na Pole sana Profesa kwa experience hiyo.

  Kinachosikitisha zaidi ni kwamba, hata pale mtu anapofikia hatua ya kukubali kwamba, ni
  kweli amemaliza degree yake ama masters lakini kichwani hana kitu, hawa watu hawatake
  trouble ya kutafuta vitabu na kuseach a real knowledge japo kwa kutembea na silabasi
  aliyopitishwa Chuoni.hakuna, Wadada sitaki kuwaongelea, lakini midume, ndio kwaanza
  inakuwa milevi na kusheherekea kazi za uteller bank. Unasoma Udakitaki wa Mifugo then
  unakwenda kuhesabu pesa exim Bank???

  Nilipokuwa chuo, kuna kozi ambazo darasani tulikuwa wanafunzi kama mia tano hivi, na ndio
  zilikuwa core courses, niliondoka na makalai au B, sikumbuki kupata B+ lakini kwa courses
  nilizo opt na darasani tukawa wanafunzi kati ya watano mpaka ishirini, zote nilifumua A, A+
  Kama sikosei.

  Hivyo naunga hoja kwamba, Uwiano kati idadi ya wanafunzi na walimu vyuoni ni tatizo kubwa
  sana kwa maendeleo ya Jamii yetu. Serikali itoe motisha kwa secta ya ualimu ili kuvutia watu
  kujiunga nayo na kutoikimbia. Kwa Mfano inaweza kufanya namna ifuatavyo.
  1. Walimu wasikatwe pesa za michango kwenye mifuko ya Jamii badala yake, serikali/waajiri
  wachingie asilimia yote ishirini.
  2. Kuwa kuna tax rates special kwa waalimu, such that, kama Muhasibu anayelipwa TZS 500000
  anakatwa kodi asilimia 20% mwalimu mwenye mshahara huo huo akatwe 8%
  3. Mchechu alazimishwe kuweka product ya ujenzi wa nyumba za walimu na kuwakopesha kwa
  Malipo ya Muda mrefu zaidi hata kama interest itakuwa pale pale, kwa mfano 50 Years, ili\
  marejesho yawe kidogo kidogo zaidi.
  4. Nafasi za kuoengeza elimu katika wigo huo huo wa elimu ziwe ni lazima, kwa maana ya kwamba,
  Kuwe kuna opportunity kubwa kabisa hata 100% kwamba mwalimu yeyote wa Primary ananafasi ya
  kuja kuwa lecturer kama akitaka kujiendeleza.
  5. Walimu waundiwe special health insurance pool, hata kama itakuwa subsidized na serikali, wachangie
  kidogo lakini wawe na uhakika wa best health services kama za apollo tehe tehe tehe
   
 3. S

  Sharp lady Senior Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for sharing.
   
 4. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Haya ndo Mambo mazuri ya kuchangia but kwa nini unajua hakuna watu wengi wanaochangia hii thread? Kwa kuwa Mfumo wetu wa elimu unafundisha 'Kushabikia mambo' na siyo 'Kufikirisha akili' na watu wengi niwazembe wa kusoma hasa kiingereza kwa kuwa hata wanaojiita 'graduates' wamesoma katika Mazingira ya 'bora kuhitimu tu' hata kama hujaelewa mambo vizuri. Watu wanasoma ili wapate degree tu na si kusoma ili wafahamu Mambo , Ndo Maana mada nyingi zisizo kuwa na points hapa JF zinachangiwa na kusomwa sana, lakini ukiweka hoja inayohitaji critical Thinking watu wanakaa Kimya. Binafsi nimesoma Degree ya kwanza pale Muhimbili na nikasoma Masters Marekani. Nilisikitishwa sana na Hali halisi ya Ufundishaji, acha nikueleze kidogo:

  UFUNDISHAJI VYUO VIKUU NCHINI TANZANIA
  1. Kwanza Professa ndiye anashikilia Maisha ya Mwanafunzi, ndiye Mwamuzi wa wewe kufaulu au usifaulu, nawakumbuka akina Dr. Lwakatare, Mgonda na wengine waliokuwa pilipili katika Mitihani ya Internal medicine. Unamkuta hajawahi kuingia darasani kukufundisha lakini anakuuliza maswali ambao lengo ni kukukomoa. Hilo liko hivyo ukiliangalia kwa jischo hilo lakini pia wanafunzi ni Wazembe wa kusoma, wengi tulipenda tuulizwe Maswali rahisi rahisi ili tufaulu kwa kuwa hatukuwa na Uelewa wa Details, kwa mtindo huo tuliwachukia akina Mgonda waliotaka details za Magonjwa na tukawaona kama 'Wanoko'. Hapa Kuna Tatizo la msingi, Maprofessa wamezidiwa na kazi na hawana Muda wa kutosha kufundisha, hivyo hvyo wanafunzi hawana hamasa ya kusoma kwa bidii
  2. Wapo Maprofessa ambao akimtamani girlfriend wako basi umefeli (Tuna eveidence nyingi kwa hili) yaani baadhi yao badala ya kuchunga kondoo basi huwachinja kabisa , na kwa kuwa tumezoea sexual claims Tanzania si kosa, basi wanafunzi wengi hawana pa kulalamika, hali hii imejenga hali ya kutokuaminiana kati ya Wanafunzi na baadhi ya walimu, je unategemea kuelewa mambo hata ukifundishwa na mtu usiyemuamini? Namkumbuka jamaa mmoja aliitwa Ng'walali, kati ya Wanafunzi 200 na zaidi ati akafaurisha wanafunzi 70 tu kwa Mwaka wa Mwisho ktk Mwaka huo, hapo ni moja kwa moja kulikoa na kukomoana baada ya kuwa na uhusiano na mmoja wetu (aliyekuwa anapendelewa sana) nasi tulipojaribu kupiga kelele 'ikala kwetu' unategemea kuelewa chochote hapo?
  3. Technolojia inayotumika ni ya kizamani. nitakueleza wenzetu wanafanyaje
  4. Matatizo ya Mikopo yanasababisha kuzalisha wanazuoni corrupt. Mtu anasoma kwa kula mkate asubuhi mchana na jionii {tuliita Komunio) halafu anafika kazini mshahara mdogo na kuna nafasi ya rushwa wote do you expect?
  5. Research paper zinazoandikwa na watanzania nyingi hazina Viwango vya Kimataifa, Ukisoma Tanzania medical journal kwa mfano kuna makosa kibao ya kitaalamu kutokana na ubora duni wa waandishi walioandaliwa katika Mazingira duni
  UFUNDISHAJI MAREKANI

  (Kama kawaida najua tutatetea kuwa hawa jamaa wana maendeleo kuliko sisi, yes huwa Tanzania hatukosi kisingizio)
  1. Kwanza profesa au mkufunzi kumtaka mwanafunzi kimapenzi ni kosa la jinai na kuwepo tu kwa Malalamiko kutapelekea kusimamishwa kazi na Uchunguzi wa kina na wa haki kufanyika, na hukumu ya haki kutendeka
  2. Mazingira ndiyo yanayoamua ufaulu au ufeli, wewe mwenyewe pia ndiye unayeamua kufaulu au kufeli
  3. Kuna Teaching Assistants wanaotenga Muda kufafanua mambo ambayo hayajaeleweka, After Class sessions ambazo wakufunzi hupokea maswali na kutolea Ufafanuzi, Technolojia kama (Live Talks na Wakufunzi, MP3 Recordings za lectures ambazo unaweza kusikiliza baadae,Free Handouts), Free access ya Research papers
  4. Darasani waweza kuuliza swali lolote hata kama ni la kipuuzi na Maoni yako yataheshimiwa , waweza kubishana na profesa kwa hoja bila hofu ya kupunjwa Maksi kwa kuwa kuna uhuru mkubwa wa Kuongea. Waweza kusema hauko tayari kufanya mtihani siku ya mtihani na ukatengewa muda wa kufanya baadae...n.k
  5. Hawa jamaa sehemu kubwa wanafundisha kwa kutumia evidence based Research papers. Nilipokuwa Muhimbili sikuwa Msomaji wa Research Papers zaidi ya mavitabu Makuubwa (Niliweza kumaliza semister bila hata kusoma Research paper na bado nikafaulu) lakini kule Marekani nilikuwa nasoma Takribani resarch paper 5 kwa siku, nikaanza kupenda Research papers na hadi sasa natumia Research Eviedence katika kazi zangu
  6. Niliweza kusoma baadhi ya Kozi online ili kupata muda wa kutosha kuhudhuria badhi ya kozi , nilikuwa na uhuru wa Ku 'AUDIT' ,kuchagua latter Grade, au hata Pass./Fail na nilikuwa na uhuru wa kubadili ninapoona Mambo haya endi swa ili kuepuka kupata daraja la Chini.
  7. Marks zilikuwa hivi A= 90-100, B=80-90 C-70-80 Chini ya 60 Fail, na zaidi ya asilimia 80 ya Darasa zima waliweza kupata A, Kwa Muhimbili A-75-100, B=61-74, C=49-59 na Bado asilimia 0.02 ya darasa zima ndo waliweza kupata A, unaona hali hii???
  Mwisho Mfumo wetu wa elimu unalazimika kubadilika, kila mtu anayejiunga na chuo anahitaji kuwa na Computer ili kuendana na mfumo wa kisasa wa kusoma, wakufunzi wanahitaji kuanza kutumia Internet kufundisha ili kumeeet demand kwa Mfano kama Karim angekuwa na system ya wanafunzi kufanya Mtihani online angepata nafsi ya Kuandaa Material bora zaidi
  Mfumo wa sasa inabidi uwe dismentaled na Kutengenezwa upya, tunahitaji Enrollment inapoongezeka iendane swa na kuongeza miundombinu na wakufunzi, si kuongeza enrollment katika resources zilezile. We need to change our education system
   
 5. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  real great thinkers
   
 6. a

  anonimuz Senior Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  Unless I’m terribly mistaken, and in dire need of a lobotomy, the Prof. passed away March last year.

  As for the paper, it isn’t among the Prof’s best. The four pages can be accurately summarized in the four sentences: ” Extensive reliance on financial incentives permeates academia. Hardly anything takes place without an immediate or potential financial inducement. Basic responsibilities are cast aside or poorly fulfilled. Well-paid external work and donor funded projects have supplanted effective teaching and supervision of students”.

  Looking at the Tanzania of today, the Prof. was what one would call “economically self-sufficient”, thanks to his many years of service, experience, and western universities connections. That being said, one might be tempted to argue that the above four sentences don’t hold much water coming from him since, unlike most academicians, he had the luxury to say NO to “external work and donor funded projects”. Then again, the Prof. had been against any form of neo-colonialism since as far back as 1990 (pg 37 http://www.codesria.org/IMG/pdf/2-_Brock-Utne.pdf) and yes, this observation is for naught unless the Prof. didn’t have the aforementioned luxury then.

  In the minds of today's youths and adults alike, the Prof’s idea of self-worthiness and dignity simply doesn’t ring a bell. Gone are the days when (most?) people would sum you up from your title (Dr., Eng., Prof., etc), your knowledge, and the likes. It’s no longer about your title but what you have to show for your title. How many times do we hear words like “Doctor gani huyo bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hata gari hana?” !!.

  Ujamaa is long gone (not that it would be of much help here) and we are now sandwiched between globalization and materialism. The academicians often find themselves caught between two conflicting notions of upholding high teaching quality (say NO to “sycophancy”, as the Prof. lightly put it )and having a better life quality (say YES to “sycophancy”). Selecting the former, which the Prof. urged them to do, means depriving one’s self of what have now become the signatures of success (fancier-than-your-neighbour's house, bigger-than-you-need cars, complex-than-you-can-comprehend gadgets, etc ). And for that we would have to go back to the 1960s, not a very good deal now that we are way too happy celebrating 50 years of "independent sycophancy” !!.
   
 7. u

  uniquestar New Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, I doubt you need a lobotomy, but you ARE terribly mistaken, lol. The prof is alive and well. Just saw him myself a few days back.
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Karim is still alive and kicking, you are confusing him with the late Zoologist professor who used to live in Arusha!! Karim is one of the best minds this country has ever had but he is a person who shuns publicity. I can dare say that hata wakina Mahmood Mamdan na Karim's shemeji Issa Shivji are no match to him as far as IDEOLOGICAL CLARITY is concerned. If you had a chance to meet Kaguta Museveni and Zakia Meghji, I believe they would testify the same!!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Karim is still alive and kicking, you are confusing him with the late Zoology professor who used to live in Arusha!! Karim is one of the best minds this country has ever had but he is a person who shuns publicity. I can dare say that hata wakina Mahmood Mamdan na Karim's shemeji Issa Shivji are no match to him as far as IDEOLOGICAL CLARITY is concerned. If you had a chance to meet Kaguta Museveni or Zakia Meghji, I believe they would testify the same!!
   
 10. a

  anonimuz Senior Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thanks for the info, UniqueStar!
   
 11. a

  anonimuz Senior Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Thank you for the clarification, Bulesi. I was, in fact, talking about the late Prof. Hirji from Arusha. I would like to know more about the still-alive-and-kicking Prof. Hirji. Are they related? Do you happen to have links to his papers? Thank you.
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Try to GOOGLE, Prof. Karim Hirji, MUHAS. If you want more of his writings, try to get hold of a book he edited about CHECHE; the former revolutionary journal of UDSM
   
 13. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nadhani alimchanganya na Prof. Aziz. Namkumbuka Hirji na hizo open book test zake. Hata kama wafanya dissertation ya masters au phd kwa kweli mfuate mtu kama Hirji ili upate kitu cha ukweli.
   
 14. a

  anonimuz Senior Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Just got his 500-pages book: "Exact Analysis of Discrete Data", seems like a good read. Came across some of his papers too but what actually caught my eye was this speech Mhadhiri: Sina imani na watawla. Sounds like he's really into socialism. I especially like Meghji's comment : "Hongera profesa Hirji Wewe ni yule yule wa miaka 1960,"

  One thing on which I would like to hear some opinions: Could socialism be the answer to Africa's problems?
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  The professor makes some good points. He confirms some fears I already had regarding the quality of our education. Unaweza kuambiwa mtu kama Dr. Hamis Kigwangwalla (MP) ni PhD (and apparently sufficiently smart by our standards to be MP - or do you even need to be smart to be MP?) ukaangalia output yake ukacheka. Tatizo zaidi, watu wetu wakipata msingi mbaya (Primary, Secondary and Undergraduate) mara nyingine hata kwenda nje kwa Masters na PhD hakuwasaidii sana.

  Having said that, I am concerned on whether the author is an ideologue, we have seen far too many of those fizzle out after being in power (think Museveni).

  Sticking with Socialism at this point is running against entropy, sweeping against the wind, swimming upstream.
   
 16. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Africa at the moment needs a combination of what is good from SOCIALISM plus what is good from Capitalism! Discard the negative aspects from both systems.
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Africa needs socalism.
   
Loading...