Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Ntakuachia uwanja wako mkubwa samahani Kama nimekukeraMatusi ya nini tena?
Kwamba unajua kutukana sana au?
Nadhani umekosea njia, huu sio uwanja wa kushindana kutukana!
Ntakuachia uwanja wako mkubwa samahani Kama nimekukeraMatusi ya nini tena?
Kwamba unajua kutukana sana au?
Nadhani umekosea njia, huu sio uwanja wa kushindana kutukana!
Mkuu unahangaika na wanaotumia vichwa vyao kufuga nywele ! Opposeeverything.comMaelezo ya kwa nini hatushitakiwi yapo kwenye thread.
Nadhani umesoma heading tu na kutoa komenti kama ilivyo kwa baadhi ya Watanzania.
Katika nchi mojawapo yenye wananchi wavivu wa kusoma/kujisomea, Tanzania inaweza kuwa ndani ya kumi bora. Inashangaza mtu akiona andiko lefu anasoma heading na kuanza kutoa komenti/maoni ambapo mara nyingi utakuta ni nje ya mada au hoja zake zinakuwa zimeishapatiwa majibu kwenye thread.
Kinachoshangaza zaidi unakuta komenti wanazotoa ni nusu mstari au mstari mmoja tu.
Mtanzania ukimwaambia aongee bila kuandika, anaweza hata akamaliza siku nzima akiongea lakini maongezi yake mara nyingi ni pumba tupu!
What wordingTranslation....?
Hizo habari za kujua mambo ambayo hayajatokea ilifaa waachiwe watabiri warithi wa kina Sheikh Yahya Hussein.msomi akishateuliwa serikalini tayari anaacha usomi wake pembeni. anajuaje hatutashitakiwa?
Huwa sio kawaida yako kutukana kwa sababu mimi ni mmoja wa watu ambao wanakuheshimu sana kutokana na hoja zako.Ntakuachia uwanja wako mkubwa samahani Kama nimekukera
Nafikiri ulipenda kusikia kuwa TUTASHITAKIWA. Lakini sijui ni kwanini dhana ya kushitakiwa au kushindwa kesi mmeipa kipaumbele sana wapinzan licha ya kupewa maelezo kibao na wataalam wetu.msomi akishateuliwa serikalini tayari anaacha usomi wake pembeni. anajuaje hatutashitakiwa?
twaweza walisema wanaoshabikia ccm ni wazee,maskini,watu walio vijijini na hasa wale wenye elimu kuanzia la 7 kushuka!!usistaajabu ya hao walioandamana kumpongeza na kuomba aongezewe mda!!!maana hata katiba hawaijui!!mtaji wa ccm ndani ya hili taifa ni UJINGAMkuu msemajiukweli ni hivi sipingi utetezu wako bali ninachoongelea hapa ni picha iliyojengeka tuna deal na wezi na kitakachoendelea ni wao kutulipa. Lakini kwa maelezo ya leo ya Kabudi naona ameingiza baridi na anachotuletea ni historia sijui wajerumani zamani walikataliwa na Nyerere, mara sijui waingereza na €5m na hadithi za namna hiyo, lakini sio leo tutalipwa lini.
Hizo sheria zinasaidia nini wakati wizi unaendelea na wala mikataba hii haiwagusi wezi wetu zaidi ya wezi watakaokuja baadae? Ni kwa nini iwe ya hati ya dharura wakati sio ya wezi wapya? Tulitahadharisha hapa kwamba wananchi wanapewa matumini makubwa lakini kinachochezwa ni siasa tu na hakuna uzalendo wowote. Nikuulize Mwinyi mpaka anasema rais aongezewe muda na Warioba kuandamana na wananchi kumpongeza rais huku wengine wakitaka aongezewe muda ni hii miswaada ya dharura? Bi dhahiri watu waliandamana wakijua tumeshika wezi na tutalipwa. Lakini chini ya hao walioaminisha watu hakuna kinachoendelea huku wezi Acacia wakiendelea na kazi zao kama kawa na hao watz waliotajwa na ripoti wote wanadunda tu. Ni hivi mnatuchezea siasa zisizo na tija na bado muda kidogo watu watashitukia hii siasa nyepesi wanayochezewa.
Bado situkani mkuuHuwa sio kawaida yako kutukana kwa sababu mimi ni mmoja wa watu ambao wanakuheshimu sana kutokana na hoja zako.
Leo umetoa matusi kitu ambacho kimeshingaza.
Anyway, today is weekend! Inawezekana umepata moja baridi na moja moto!
Hivi kuna mtu anayewabeza hao wapinzani, au wanajibeza wenyewe!... Hapa jukwaani kuna mapost yako kibao ya kujifanya unaitetea hii awamu ya 5 huku ukiwabeza na kuwakejeli wapinzani...
Sheria mpya ni kwa ajili ya mikataba mipya tu,Wameshatunyonya sana acha mikataba yote irudiwe upya. Na siyo ya madini tu nahisi kwenye gasi ndo kumejaa uozo. Mikataba yote irudishwe bungeni.
Ila wabunge haswa wa CCM hata siwaelewi, ni kama bendera fuata upepo tu. Wao walikaa na kupitisha miswada yote ya madini kwa kura ya ndiyo. Wapinzani walipowapinga wakabakia kuzomea. Sasa hivi walichokuwa wanahoji wapinzani ndo kinawatokea puani.
Tukiacha mihemko na uchama tukaweka nchi yetu mbele nina uhakika kabisa Taifa letu litasonga mbele. Ila kama sheria zitapitishwa tu kwa sababu tunataka ushabiki wa chama chetu ushinde tutatambukia shimoni.
Nakubaliana kabisa Prof Palamagamba alichosema ni vyema tukaenda mbele kwa ujasiri mkubwa na kuangalia upya mikataba iliyowekwa ya madini na kutengeneza mikataba mipya kuliko kuweka mkia katikati ya mapaja.
Liwalo na liwe tu. Ama zao ama zetu. Hata tukiliwa basi tujuwe pia tumejaribu kurudi kwenye mstari ikashindikana na siyo kubakia kulia lia tu.
Ninashukuru Mkuu.Bado situkani mkuu
Kakupa hadi mifano nini kilitokea kwa Ghana na Tz.kuwashitak acacia au kutaifisha mali zao sio sawa ka kwenda kuharibu shamba la mbowe.Angalia unapambana na watu gan.ndo maana kwa kuliona hilo prof mwenyewe anasisitiza busara zitumike ktk mazungumzo.na tayar jamaa walishakuja kutaka mazungumzo.Nyerere aliwafukuza kwenye mgod wa mwadui,nini kilifuata?..Prof anatuchezea tu akili zetu.
..sisi ndiyo tunapaswa kuwashtaki acacia MIGA kwasababu tuna ushahidi uliokusanywa na wasomi wetu unaothibitisha kwamba wametuibia.
..negotiations zifanyike baada ya acacia kupatikana na hatia. baada ya hapo watatulipa na tutakuwa ktk nafasi nzuri ya ku-negotiate nao the way forward.
..Again, baada ya ripoti za Prof.Mruma na Prof.Osorro anayepaswa kuogopa miga ni acacia, siyo Tanzania.
Kweli huyo sio JokaKuu ninayemfahamu. Anaongea utafikiri hata container zilizozuiliwa zimeachiwa.Kama umejua prof. anakuchezea akili, achana naye! Shughulika na hoja za watu wasiokuchezea akili!
Umejuaje kama hatuwezi kuwashitaki iwapo mazungumzo hayatafanikiwa?
...
Nadhani wengine wataelewa kwanini tunasema mfumo wetu si mzuri..Prof anatuchezea tu akili zetu.
..sisi ndiyo tunapaswa kuwashtaki acacia MIGA kwasababu tuna ushahidi uliokusanywa na wasomi wetu unaothibitisha kwamba wametuibia.
..negotiations zifanyike baada ya acacia kupatikana na hatia. baada ya hapo watatulipa na tutakuwa ktk nafasi nzuri ya ku-negotiate nao the way forward.
..Again, baada ya ripoti za Prof.Mruma na Prof.Osorro anayepaswa kuogopa miga ni acacia, siyo Tanzania.
wee ndio kilazwa wa mwisho kwa swali lako la kipuuzi..kajua je wakati kaangalia mipaka ya kisheriamsomi akishateuliwa serikalini tayari anaacha usomi wake pembeni. anajuaje hatutashitakiwa?
bora umeona ujinga wa huyu bwana kilaza anaechangia akiwa kalala mkuuMaelezo ya kwa nini hatushitakiwi yapo kwenye thread.
Nadhani umesoma heading tu na kutoa komenti kama ilivyo kwa baadhi ya Watanzania.
Katika nchi mojawapo yenye wananchi wavivu wa kusoma/kujisomea, Tanzania inaweza kuwa ndani ya kumi bora. Inashangaza mtu akiona andiko lefu anasoma heading na kuanza kutoa komenti/maoni ambapo mara nyingi utakuta ni nje ya mada au hoja zake zinakuwa zimeishapatiwa majibu kwenye thread.
Kinachoshangaza zaidi unakuta komenti wanazotoa ni nusu mstari au mstari mmoja tu.
Mtanzania ukimwaambia aongee bila kuandika, anaweza hata akamaliza siku nzima akiongea lakini maongezi yake mara nyingi ni pumba tupu!
Kwani hizi sheria zinatungwa kwa ajili ya swala la makinikia?hivi swala mchanga mfano kutodeclare kias sahh na aina kilichomo hakiwez kuwa solved na sheria zilizopo?Ingekua Ttz ni sheria ktk hili makinikia Wasingekuja kutaka mazungumzo.na hata prof asingesema hatuwez shitakiwa.Tatizo watanzania mmeshindwa kujua nini dhima ya huu mswada wa dharula na wengi mnajua eti unaenda kufuta Ile 4% na unaenda kusimamia kudai hizo tr 108.Hata kwa hizo sheria zilizopo tu bado tuko ktk nafas nzur ktk kudai haki yetu maana sio hizo sheria zetu mbovu au mikataba ya 4% au MIGA zinaruhusu kudanganya.Msemaji ukweli sitaki kuamini yale matumaini mliyowapa watu saa mnatuona majuha mnaanza kugeuza hoja ni kutokushitakiwa. Hoja ilikuwa ni kulipwa na wala sio hofu ya kushitakiwa. Mliiaminisha watu tutalipwa 108t, leo mnaanza kutuletea hadithi za kutoshitakiwa? Halafu nimejaribu kufuamfuatilia Kabudi, nimegundua hana jipya, kila mara akiongea anaishia kuongea historia na kiswangilish kisicho na tija lakini hana suluhisho la matatizo ya nchi.
Kwa ufupi huyo huyo Kabudi ni mwalimu wala sio mtu wa kumtegenea kwenye uchumi wetu. Pamoja na maelezo yake yote na kutumia vijimaneno vya kizungu hakuna mahali anapozungumzia hizo hela za malipo zaidi ya kuonyesha hatutashitakiwa. Kwani hao Acacia lengo lao ni kutushitaki? Wao iwapo wataendelea kuvuna hawana muda wa kutushitaki ila iwapo tutawazuia kuvuna wanaweza kutushitaki.
Nimegundua hata hiyo mnayosema sijui hawajasajiliwa Brela si lolote si chochote kwani mpaka sasa Acacia wapo nchini na wanaendelea na kazi zao. Hivi ingekuwa ni kampuni ya mtanzania na haswa mpinzani itamkwe haijasajiliwa leo ingekuwa bado inaendelea kufanya kazi? Tuliaminishwa baada ya wiki hao Barrick wanarudi kuja kujadili kurudisha chetu, mpaka hawajatokea, badala yake tunakimbizana na miswaada ya dharura kumbe hata yenyewe ni ya wawekezaji wapya na wala sio hawa mnaowata wezi. Duuuu aibu gani hii, na kwa kauli hizi sintoshangaa yale macontainer 277 ya makinikia tukalipishwa gharama za kuyazuia.