Prof. Kabudi shugulikia tuhumu za wachina waliopewa majina ya kiislam UDSM

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Tukio la vijana zaidi ya 54 wa kichina kupewa majina ya kiislamu sio dogo kabisa linapokuja suala la utamaduni wa kiroho na kidini kwa raia wa China (spiritual/religious beliefs )

Wakati idadi ya wachina waislamu wakizuiwa kwenye majera ya siri kama kuzuia uislamu nchinj kwao ambao huonekana kama hatari za usalama wa nchi hapa chuoni UDSM wahadhiri wameamua kuwapa majina hayo na kuwapa mwelekeo wa kiislamu vijana wanaokuja kusoma lugha ya kiwahili ,

Majina ya kiifrika yanajulikana majina ya kiasili ya kitanzania yanajulikana sio ,swaumu,khadija,muksini,akramu na n.k ambayo vijna hao wamepewa na wewe uko kimya .

Kupitia azamu two mwalimu huyu (pichani) amejitaja kuwa yeye ndio amewapa majina hayo akisema niyakitanania huku akijua sio kweli ,chukua hatua mapema
IMG_20190714_121028.jpeg
 
Majina tu au kuna kingine mkuu? Hayo majina hata kwao ukienda kusoma wanakupa ili iwe vyepesi kwao kuyatamka. Huishia kukuita tu lakini officially hayatambuliki. Sijaona tatizo liko wapi unless kama issue ni mtazamo wako dhidi ya uislam
 
Tukio la vijana zaidi ya 54 wa kichina kupewa majina ya kiislamu sio dogo kabisa linapokuja suala la utamaduni wa kiroho na kidini kwa raia wa China (spiritual/religious beliefs )

Wakati idadi ya wachina waislamu wakizuiwa kwenye majera ya siri kama kuzuia uislamu nchinj kwao ambao huonekana kama hatari za usalama wa nchi hapa chuoni UDSM wahadhiri wameamua kuwapa majina hayo na kuwapa mwelekeo wa kiislamu vijana wanaokuja kusoma lugha ya kiwahili ,

Majina ya kiifrika yanajulikana majina ya kiasili ya kitanzania yanajulikana sio ,swaumu,khadija,muksini,akramu na n.k ambayo vijna hao wamepewa na wewe uko kimya .

Kupitia azamu two mwalimu huyu (pichani) amejitaja kuwa yeye ndio amewapa majina hayo akisema niyakitanania huku akijua sio kweli ,chukua hatua mapema View attachment 1153304

Acha Pumba
Yaani kabisa SERIKALI ifuatilie watu kuchagua majina
Mbona kuna waislamu wana majina ya kikristo au ya kipagani na pia wakristo
 
Tukio la vijana zaidi ya 54 wa kichina kupewa majina ya kiislamu sio dogo kabisa linapokuja suala la utamaduni wa kiroho na kidini kwa raia wa China (spiritual/religious beliefs )
Wakati idadi ya wachina waislamu wakizuiwa kwenye majera ya siri kama kuzuia uislamu nchinj kwao ambao huonekana kama hatari za usalama wa nchi hapa chuoni UDSM wahadhiri wameamua kuwapa majina hayo na kuwapa mwelekeo wa kiislamu vijana wanaokuja kusoma lugha ya kiwahili ,
Majina ya kiifrika yanajulikana majina ya kiasili ya kitanzania yanajulikana sio ,swaumu,khadija,muksini,akramu na n.k ambayo vijna hao wamepewa na wewe uko kimya .
Kupitia azamu two mwalimu huyu (pichani) amejitaja kuwa yeye ndio amewapa majina hayo akisema niyakitanania huku akijua sio kweli ,chukua hatua mapema View attachment 1153304
Mwalimu wa Udsm hajui majina ya kitanzania!
 
Haina maana
 
Majina ya kiisilamu ni yapi ?
 
Kwahiyo kwa kuwa waislam wanalazimishwa kula nguruwe huko uchina hutaki hata wachina waiitwe majina ya kiarabu

Mkuu mleta maada hayo majina ni ya kiarabu wala siyo ya kiislam hayo majina yalikuwepo uarabun hata kabla ya mtume mwamedi

Hayo majina hata huku usukaman tunayatumia sana wakati hata msikiti hatuujui
 
Duh!! Ikiwa haya ndo mawazo ya waliopo Mlimani, tuna safari ndefu ya kuenda. Yaani bado un mawazo ya kibaguzi!! Kwa hakika hili linatisha.
 
Back
Top Bottom