Prof kabudi mwenyekiti wa tume ya katiba mpya

Wote ukiwangalia hakuna perfect sana kwa nafasi hiyo:-
Kabudi - Hafai kabisa na hata alipokuwa rafiki wa mahakama juu ya mgombea binafsi alijitafuna na kujionesha yeye ni gamba
Warioba - ni bora lakini kuna ya mwanachi gold naye alichafuka sijui hoja za masuala ya madini kwenye katiba itakuwa neutral au atalalia kwa mabepari
Prof. Shivji - ni bora kwa kiasi fulani lakini ana unyerere mwingi kupita kiasi na sasa hivi ni kipindi cha information age tunataka ukweli na haki ili kila mmoja afadi keki ya nchi kwa usawa na kwa juhudi na maarifa ya mtu binafsi
Wengine waliotajwa hapa ndio hafai kabisaaa hata kuwajadili
 
Raisi nakumbuka aliahidi atamchagua mwanasheria maarufu na mkongwe kufanya mchakot wa katiba
chale zimencheza huyu jamaa anaweza akapewa commitee cz ye ndo alitunga sheria ile ya kwanza ya mapendekezo ya katiba
my take naona JF tupeleke kwa raisi jina lan prof shivji, prof Maina na warioba

Apewe George Bakari Liundi, mwanasheria aliye bobea, Mwandishi wa Sheria aliye bobea, alikuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria Mzalendo, alikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa wa kwanza hapa nchini. SIFA nyingine kuu, hayuko KWENYE MAGAMBA WALA MAGWANDA, KWA kidhungu HE IS A NEUTRAL PERSON!!!!!!!
 
Back
Top Bottom