Prof.Kabudi Chad ni "failed state " Je anafahamu madhara yake kidiplomasia?

Kabudi na bashiru watu wanawachukia Sana, na sijawahi kuona wamefanya kitu kibaya au kuongea kitu kibaya kinachowakandamiza wananchi au hata kufanya Mambo ya tumbua tumbu, mi nawaonaga wamekaa kizalendo kuliko so kina jafo, mwigulu etc
Hiki kivuli cha uzalendo achana nacho kbs, hii ni njia ya kupigia tu. Mzalendo wa kweli ni Hayati Julius Kambarage Nyerere, OVER!!
 
Akijibu hoja za Mh.Jesca Kishoa bungeni kuhusiana na uwekaji wazi wa mikataba alitolea mfano nchi ya Chad kama ni " failed state" (sijuii tafsiri yake kwa kiswahili) ndani ya Bunge . Sasa naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu na masuala haya Je hakuna athari yeyote inayoweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia unaoweza kujitokeza kati ya nchi ya Tanzania na Chad kutokana na hiyo kauli .?
Uwazi wa mikataba kwann unafichwa sana? Kama kweli mikataba ni ya maslahi ya Taifa why uwekwe in secret? Halafu kuishi na kufanya maamuz kwa kuangalia nan kafanya nn hatuez songa mbele. Tujiwekee taratibu zetu za mipango endelevu ya kimaendeleo isiyokoma.
 
Sidhani kama kuna watanzania katika hiyo nchi ya Shithole country in Trumps voice.
 
Akijibu hoja za Mh.Jesca Kishoa bungeni kuhusiana na uwekaji wazi wa mikataba alitolea mfano nchi ya Chad kama ni " failed state" (sijuii tafsiri yake kwa kiswahili) ndani ya Bunge . Sasa naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu na masuala haya Je hakuna athari yeyote inayoweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia unaoweza kujitokeza kati ya nchi ya Tanzania na Chad kutokana na hiyo kauli .?
Kawaulize wahusika kule Chad
 
Puropesa "KALA MAGANDA KABUGI..." 🤣🤣🤣
 
It's wrong kusema hivyo. Kwenye diplomasia huwezi kutamka hivyo maana unaweza kuingiza nchi kwenye mgogoro.
Anatazama Chad kama nchi moja, anasahau alliance yake na nchi za Nigeria, France nk.
Hii ni kauli ya nyakati zilizopita na sio sasa ambapo nchi inajijenga kidiplomasia.
Ni vyema wangempumzisha kabla hajaharibu zaidi.
A Failed State is a political body that has disintegrated to a point where basic condition and responsibilities of a sovereign government no longer function properly!!!!
 
Back
Top Bottom