Uchaguzi 2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

Achana na Tume huru wewe

Mwaka huu haponi mtu tutashinda kwa mbinu

Mwaka huu tutatumia kitu kinaitwa"SHIKWAMBI"

Haponi mtu bungeni labda Zitto na Mbatia tu watarudi

Tunambinu nyingi mwaka huu tunatumia Shikwambi majimbo ya upinzani

Tutashinda kwa mbinu

Tutashinda kwa mbinu iwe jua au mvua
Mbona unazunguka.sema mtaiba kura kwa kutumia NEC, MADED na POLICCM.
 
Kwani sifa ya kuwa mbunge ni kutaja majina ya vijiji? Katiba inamruhusu mtu yeyote kugombea uongozi mahali popote ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiwemo wewe
 
Kwa nini asigombee Ubungo. Ametumia sehemu kubwa sana ya maisha yake hapo mlimani kwa hiyo angejitambulisha zaidi kwa wana ubunguo.
 
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Kilosa tafuteni kamanda mmoja kutoka CDM achaneni na udikteta wa ccm.
 
Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Hahahaaaaaa . . . .inatia huruma na inafurahisha vilevile. Ngoma ngumu sana October 2020
 
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Kwani Mustafa Mikulo alipogombea jimbo la Kilosa alikuwa na nyumba Kilosa...?
 
Kabudi haijuwi vizuri kilosa Sema Ana ndg zake hapo dumila
Ila jimbo atapewa.... Ila syo mbaya angeenda kumsalimia Mustafa mkulo

Ova
 
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Kabudi anataka kuvamia jimbo kimabavu.
 
Ukija kuzinduka katika huo usingizi utamkuta ni mbunge
 
Back
Top Bottom