Profesa Kabudi anapaswa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumuandikia kitabu

Kabudi aliambiwaga na Magu wewe ni mkubwa kwangu lkn ni mpumbavuuuuuuu,akainuka kwny kiti chake akasujudu kwa heshima kabisa akisema asante sana.
Huu ni uongo mtakatifu. Prof Mbarawa ndio aliambiwa ni Mpumbavu na leo kapewa wizara ile ile kipenzi na moyo wa marehemu ulipokuwa

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Kabudi aliambiwaga na Magu wewe ni mkubwa kwangu lkn ni mpumbavuuuuuuu,akainuka kwny kiti chake akasujudu kwa heshima kabisa akisema asante sana.
Kabudi bana ana mambo ya kipekee sana! Sema alijua kuucheza wimbo wa Magufuli ndio maana amedumu vizuri kwenye kula nae keki ya taifa!
 
Back
Top Bottom