Prof. Juma Mikidadi ni profesa wa nini? Fikiria kidogo kabla ya kujibu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Juma Mikidadi ni profesa wa nini? Fikiria kidogo kabla ya kujibu...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 3, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Swali hili lina lengo la kujenga hoja fulani ambayo nataka izame kwa baadhi ya watu. Sina mashaka na uwezo au elimu ya Prof. Mikidadi kwani ni mwanazuoni aliyebobea katika fani zake na ni miongoni mwa wasomi wanaoheshimika nchini. Hata hivyo ili hoja yangu iweze kuonekana ningependa mtu anayejua mambo haya mawili atusaidie:

  a. Alipata shahada ya kwanza wapi na ni katika vitu gani?
  b. Shahada yake ya Udaktari aliipata wapi na inahusiana na vitu gani?

  Na je, shahada hizo zinapaswa kukubaliwa na watu wengine ambao hawakubaliani na vile alivyosomea?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Is this the guy you are talking about???

  FACULTY OF LAW AND SHARIAH


  Ag. Dean and Professor,
  Juma Mikidadi, O. Mtupah – B.A. (Islamic Law) (Medina); M.A. (Logic & Orient Studies)
  (SUUD); PhD (Phil. & Islamic Studies) (Edinburgh)
  Email j.mikidadi@yahoo.com
  Mob. +255 785-342628

  Source: Hapa
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ni kama dk slaa sio?????????
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 5. m

  mpasta JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 383
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Professor wa divinity kama wilbroad slaa yule katibu mkuu wa chadema
   
 6. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Education is the knowledge of no how
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  Nimefikiria kabla ya kuku jibu nimegundua

  1) Una majibu ya hayo maswali ulio uliza kutoka na mstari ( conclusion uliyoweka) hapa chini bora ungeenda straight kwenye point what are you trying to Dig..?!
  P.S

  nawashangaa wanaomfananisha na mzee slaa, Slaa yeye ulikuwa ni mwendo wa certificate kwenda mbele ... hana B.A katika CV yake !

  hamfikiii Prof. J. mikidadi hata kidogo.
   
 8. S

  Smarty JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  <br />
  <br />
  wewe MM shahada/whaterver ulichosomea unafikiri kina mchango katika nchi hii na je unadhani ni sahihi tukbali elimu yako uliosoma na ni sahihi kuwa watu wengine wakuchuklie kuwa elimu yako inakusaidia na inasaidia jamiii inayokuzungukazi???
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
Loading...