Prof.Joyce Ndalichako katika ubora wa elimu

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,779
23,042
Ni kweli tumepata mtaalamu mwenyewe hasa katika elimu. Sasa elimu elimu inapaa.

Katika maandiko yake, mfano, ASSESSING STUDENTS UNDERSTANDING FOR PROMOTING TEACHING AND LEARNING (Educational Psychology For Teachers, chapter 20 pg 269-275) yanaonesha jinsi alivyo na uwezo mkubwa wa kuleta maendeleo makubwa katika elimu yetu.
 
Bila ushirikiano wa wadau huenda tukafikia hatua hata ya kuhoji uprofesa wake. Tumpe ushirikiano tafadhali
 
Hamna kitu hapo,
hawana ubunifu wanasikiliza jf wanasema nini ndo wanaact,
baada ya magufuli,mwenyekiti wa jf bwana max ndo afuatie kuwa rais nadhani tukikampeini vizuri atapita,


ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom