Prof JOYCE NDALICHAKO haya yakufikie hata kama yatakuuma, lakini ndio ukweli wenyewe

Bado TZ tuna safari ndefu sana kwa elimu, kama bado hadi leo kuna watu wanaongelea uwezo wa uongeaji wa MAMA na kutoa judgment ni simanzi.

Angalieni utendaji tuache judge vitabu kwa kusoma macover tu,mnae mkosoa sijawahi waona kule kwenye majukwaa ya NGELI NGELI wote thread mnapost huku hoja mchanganyiko.

onyesheni mifano sasa mnapomkosoa PROF kuweni mifano hai mwageni uyai tuone level zenu hata za grammar na nyie.

Tanzania tuna safari ndefu sana asee.. Hili linchi silipasuliwe kati halafu upande nilioko mimi Upewe jina lingine Tanzania ibaki upande huo uko,niwe ndo nishajiyoa automaticaly..

Raia wa hiii nchi akili zao 80% wote zipo sawa sijui hii model ya kizazi cha hii nchi ni model gani...
watu wenye akili nzito kuelewa mada kama wewe ndio mnatuchelewesha, umezoea ukiona title ni Joyce ndalichako basi kinazungumziwa kizungu chake, hapa mada ni mfumo rafiki kwa wanafunzi utakao wawezesha wao kuwa watalamu wa sayansi na teknolojia kulingana na wakati tuliopo,

kuna mawili, either haujasoma mada ya mazungumzo au umekurupuka, tulia then leta mchango chanya na sio kuhoji uwezo wetu wa kuongea kiingereza,

mimi kama mimi nikianza kuongea au kuandika icho kizungu utaanza kuona kama najitapa kumbe ni ada yangu ndio inafanya kazi
 
Back
Top Bottom