Prof Issa Shivji: They are blinded by power and protected by walls, but they will go down eventually

BTW hakuna hata Mtanzania moja anayemwabudu JPM huo ni uongo na ulaghai wa hali ya juu, hivi huu uongo ndio unaopelekea Max kupata tuzo? Kama ni hivyo basi hata muktada wa kuongoza Serikali utakuwa hauna maana kwa sababu wengi wanafikiria majungu zaidi.

Baada ya 2025 tutakumbushana humu JF jinsi 2015 ilivokuwa ie alipoikuta Tanzania iliyoachwa na JK na mahali atakapotufikisha JPM inshallah 2025, miaka minne tu mafanikio ya JPM yanawafanya wengi wakose usingizi maana, kwanza hakuna hata moja anayeweza kusema anaweza kumuhonga rais wala anayeweza kusema anaweza kumshawishi JPM kwa jambo lolote. Hiyo ndio heshima ya kuwa rais. Shida zenu binafsi tatueni nyinyi wenyewe binafsi msimsukumizie rais. JPM ana kazi moja tu na ni mkataba wake na Watanzania, nyinyi wengine mlie tu hadi chozi la damu liwatoke.

JPM piga kazi kelele za mlango zisikukoseshe usingizi Watanzania wengi tupo nyuma yako na kuku-support.
Pamoja na udhaifu wote wa kibinadamu alionao JPM sifa yake kubwa ni ufuatiliaji wa yanayokubalika kufanyika iwe katika vikao iwe ni maagizo anayotoa majukwaani.

Hakuna aliyetarajia kuwa kiwanja cha Dodoma jijini kingeweza kuuzwa tshs milioni 50 ndani ya miaka mitatu tangu agizo la kuhamia litangazwe.

Anachokifanya JPM leo faida zake hazitaonekana kesho bali ni miaka kadhaa ijayo.
 
Nikikumbuka Gaddafi alivyookotwa kwenye mtaro pamoja na kuwapa kilakitu watu wake uwa namshangaa sana Jiwe.
Ghaddafi na JPM ni watu wawili tofauti. Libya na TZ ni nchi mbili zenye historia mbili tofauti.

Mungu akipenda 2025 huyu ataondoka ikulu, kwa sasa na aendelee kuinyoosha nchi.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Nadhani haujaelewa ujumbe

Ngongo Habari za Arusha mkuu, natumaini unakula kuku na biskuti kama kawaida …. …… ...


1574503645015.png


Kumetokea nini tena?
 
Huu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Wewe ni mwanachadema unachotakiwa kwenye mkutano wenu utoe hoja ili jina lake lisipite kwenye uchaguzi wenu lakini ukituambia sisi ambao hatushiriki kwenye vikao vyenu hatuwezi kukusaidia mbowe aachie ngazi maana wenye maamuzi ni nyie wanachama
 
Back
Top Bottom