Prof. Issa Shivji: Sheria ya uchochezi ni ya karne ya 17

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,900
95,170
Yule mwana mchambuzi wa mamb ya kisiasa na msomi nguri PROFESSOR ISSA SHIVJI amesema sheria ya makosa ya uchochezi ilikuwa ni ya miaka ya nyuma sana yaani karne ya 17 na nchi za ulaya na marekani hiyo sheria ya makosa ya uchochezi ilishafutwa kipindi kirefu sana.
Duuu wakati kwetu ndiyo sheria mama inayo kumbatiwa wakati wale tunao waiga walisha isahau?
FB_IMG_1551155548902.jpeg


In God we Trust
 
Kabla sheria hiyo haijafutwa UK na USA watu wake walipitia hali ipi?
Je, ucahguzi wa mwaka 2015 kufutwa kwa sheria hii ilikuwa sehemu ya agenda yao - if no ni leo tu wameona kuwa sheria hiyo ni kikwazo kwao?

Suala la msingi sana ni pande zote mbili (watawala na watawaliwa kutambuwa wajibu wao) - kuifuta sheria hiyo hakutoi unafuu wa kuwajibishwa pale unapokosea kwa kuwa bado zipo sheria zingine za kukufanya usote gerezani.
 
Back
Top Bottom