kanywaino
Senior Member
- Sep 10, 2010
- 171
- 19
Jamani naomba kuhuliza mwenyekiti wa chama cha cuf prof lipumba yuko wapi kwani sikumsikia katika harakati za uchaguzi igunga may be inaweza ikawa sababu ya chama hiki (cuf) chini ya mtatiro kuwa na mapenzi ya karibu sana ccm hadi kufikia kusherehekea ushindi kwa pamoja.na jullius rutatiro kukodi ndege bila uhamuzi wa viongozi wake inamaana ndio keshakabidhiwa chama ama?