Prof. Ibrahim Lipumba yuko wapi jamani?

kanywaino

Senior Member
Sep 10, 2010
171
19
Jamani naomba kuhuliza mwenyekiti wa chama cha cuf prof lipumba yuko wapi kwani sikumsikia katika harakati za uchaguzi igunga may be inaweza ikawa sababu ya chama hiki (cuf) chini ya mtatiro kuwa na mapenzi ya karibu sana ccm hadi kufikia kusherehekea ushindi kwa pamoja.na jullius rutatiro kukodi ndege bila uhamuzi wa viongozi wake inamaana ndio keshakabidhiwa chama ama?
 
yupo New York City Nchini Marekani, mbona alituaga hapa anakwenda kusaidia Dunia, wewe upo wapi? Tatizo la huyu mtu kuitwa Ibrahimu angekuwa Abraham saa hizi ndio Rais
 
Jamani, mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Prof.Hibrahimu Lipumba yuko wapi? mbona yupo kimya sana?
Inakuwaje viongozi wenzake wa vyama vya upinzani kama CDM na NCCR mageuzi wako busy katika kupigania upa
tikanaji wa katiba mpya alafu yeye yupo kimya? nyie CUF vipi? kama sijakosea nakumbuka huyu bwana mara ya
mwisho nilimuona kwenye ufunguzi wa kampeni jimbo la Igunga na kutoka hapo sijamuona wala kumsikia tena kupi
tia vyombo vya habari hadi leo hii. Tatizo ni nini? au ameshajikatia tamaa na hiki chama chake? na je,kwa sasa yuko wapi?
 
unahamu ya kujiunga na CUF nini ???? Mbowe ameshindwa anaatafuta msaada wa Lipumba?????
 
unahamu ya kujiunga na CUF nini ???? Mbowe ameshindwa anaatafuta msaada wa Lipumba?????
mjibu mwenzio usimbabaishe na mambo ambayo hajakuuliza.mshikachuma,baada ya maalim kupata ulaji smz,ccm A wamemtafutia prof ulaji pale un.atakuwa huko akila bukini kwa miezi sita hivi.
 
mara ya mwisho kumsikia kwenye ule mdahalo wa mgogoro wa kiuchumu .. alikuwa akihojiwa toka MAREKANI ...! maswali yote ya prof. kuhusu chama yapelekeni kwa mtatiro....
 
Alishapewa Chake Mapema huyu Mheshimiwa. Prof Lipumba na Maalim Seif huwa ni viongozi wa KIPINDI CHA UCHAGUZI na kipindi hicho kikipita tu basi tena mtu usubiri tu kuwasikia uchaguzi mwingine. utakapowdia ndio uone wanavoongea kw misuli hadi mishipa yote kusimama nje nje shingoni.
 
Hivi kaka unategemea lolote jipya kutoka CUF? Wenzio wako kwenye mahaba mazito na CCM wewe unataka kuingilia mambo ya watu. Upinzani wa kweli hautakaa utoke CUF hii ya sasa; labda wajipange upya tena wajipange haswa.

Walivyokuwa wanakaa kwenye vikao vyao vya miafaka kwa kificho wenye akili zao walionya na kupiga kelele, CUF wakaona wanaonewa gere kumbe ndio hivyo chama kilikuwa kinaelekea kaburini kwa faida ya wachache. Inahuzinisha lakini hakuna neno jingine zaidi ya R.I.P. CUF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom